Napendekeza kituo kikuu cha Treni Mwanza kiitwe UMUGHAKA MWANZA STATION

Ni kama mimi ninavyotaka mji wa kiserikali Mtumba uache kuitwa Magufuli! Sababu zangu ni kama hizi! Na pale Dar pia stendi za Mabasi na Treni ziitwe jina la Kizaramo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…