FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #21
Kama unai- ‘soma’ hiyo mada darasani, basi ni somo, ndio maana unasom. ‘Somo la leo - Slavery’Binti yangu Fransica, ndio maana nimekuambia karudie Form IV ufute hiyo Zero uliyopata.
TOPIC = MADA
Wewe umechanganyikiwa, kama ni ili wao watuonee huruma, then fine, wafundishane wenyewe kwa wenyewe hukoooooooo..., huku kwetu hakuna kufundisha mtoto huo utopolo, unatunyongesha sana kifikra, Frankly, hakuna wa kukuonea huruma, wali-replace ‘Slavery’ wakaleta ‘Colonialism’, na sasa ‘capitalism’, yote ni unyonywaji mtupu!!!! WaAfrika tusitafute kuonewa huruma, maana hakuna wa kutuhurumi, tujinasue wenyewe Kifikra!!, Futa hilo somo!!!!
Hawa weupe wa sasa walioko Misri wametoka wapi?Kwamba Marekani kuna watu weupe inamaanisha wao ndio walikuwa hapo toka awali? Kisa Red indians hawaonekami tena basi inamaana hawakuwepo? Tafuta ukweli ndugu yangu, based on evidence, na sio story za kutunga
Hii ni sawa na yale makumbusho ya kibali Rwanda (Genocide memorials)naona yangefungwa make nahisi yanaongeza chuki ambayo unakuta mtoto amezaliwa leo halafu miaka 10 unaanza kumuelezea jinsi chuki ilivoanza huku akishuhudia mifupa,majeneza ya miaka 1994,Mimi niliona lakini sikupendezwa kabisa,halafu kibaya maelezo yanayotolewa hapo yanaelezea zaidi upande mmoja ulioathirika zaidi wanalishana sumuPendekezo hilo nalitoa kwa sababu kuu tatu.
1.) Kitendo tu cha mimi kujua kwamba mzungu aliweza kuwakamata mababu zangu na kuwauza kama mbuzi kilinifanya nijione binadamu wa daraja la pili hapa duniani, inauma sana ila ukweli ndio huo; kwamba mzungu ni daraja la kwanza, ila sisi daraja la pili kama si la mwisho, naapa, kama nisingefundishwa haya, nisingeweza kupata mawazo hayo kamwe! Japo sasa nimekua na sina hata mawazo hayo, ila chini kwa chini kuna kitu nimeshaharibiwa na somo hilo.
2.) Si kila ukweli katika historia wenzetu huwafundisha watoto wao, huwa wanachagua, ikiwezekana hata kuedit historia ili kuwalinda kisaikolojia. Mfano wale Archeologists wa Kizungu walipogundua kwamba Mapharaoh wa Misri walikuwa ni watu weusi, na waliweza kuwafanya watumwa watu weupe (wayahudi) , walibadilisha na kupindisha ukweli, hata movie zao, mapharaoh wote wanaonyeshwa kwamba ni weupe, wakati michoro yote kwenye kuta za pyramid zimaonyesha vinginevyo..., mifano ni mingi mno!
3.) Hii ya sababu ya tatu ndio inaniumiza sana, sitaki hata kuitaja.., au basi siitaji
Muafrika hakua na hakumtambua mungu hadi wageni walipokuja.............bulushit......historia yetu kabla ya hawa wageni kuja ni kama hakuna kitu tunachoambiwa ni kama maisha yetu yalianza walipoanza kuja hawa wageni
Hawa weupe wa sasa walioko Misri wametoka wapi?
Pendekezo hilo nalitoa kwa sababu kuu tatu.
1.) Kitendo tu cha mimi kujua kwamba mzungu aliweza kuwakamata mababu zangu na kuwauza kama mbuzi kilinifanya nijione binadamu wa daraja la pili hapa duniani, inauma sana ila ukweli ndio huo; kwamba mzungu ni daraja la kwanza, ila sisi daraja la pili kama si la mwisho, naapa, kama nisingefundishwa haya, nisingeweza kupata mawazo hayo kamwe! Japo sasa nimekua na sina hata mawazo hayo, ila chini kwa chini kuna kitu nimeshaharibiwa na somo hilo.
2.) Si kila ukweli katika historia wenzetu huwafundisha watoto wao, huwa wanachagua, ikiwezekana hata kuedit historia ili kuwalinda kisaikolojia. Mfano wale Archeologists wa Kizungu walipogundua kwamba Mapharaoh wa Misri walikuwa ni watu weusi, na waliweza kuwafanya watumwa watu weupe (wayahudi) , walibadilisha na kupindisha ukweli, hata movie zao, mapharaoh wote wanaonyeshwa kwamba ni weupe, wakati michoro yote kwenye kuta za pyramid zimaonyesha vinginevyo..., mifano ni mingi mno!
3.) Hii ya sababu ya tatu ndio inaniumiza sana, sitaki hata kuitaja.., au basi siitaji
Uarabuni. Ila Binadamu wote wametokea Afrika. Hiyo Itoshe kujibu yote.Hawa weupe wa sasa walioko Misri wametoka wapi?
Aisee ni kweli, tusipoangalia Afrika litakuja kuwa bara la watu weupe, weusi tutabaki kama digi digi tu humuMashariki ya kati.
Unajua Afrika inaweza kuwa na watu wengi weupe, Wachina, Waarabu, wahindi kuliko Waafrika ndani ya miaka 200 tu?
Utauliza wametoka wapi? Jiulize mikopo yote muhimu,sekta zotemuhimu technologia, vyombo muhimu vya dunia nani anavi- control.
Yaaani vitu vingine vinachekesha sana, na unakuta eti huo ndio mtaala na watoto mamilioni kwa mamilioni tunawalipia ada ili wafundishwe huo upupu?!Huwa nachoka sana nikisikia Mlima fulani ulizinduliwa na Mzungu...
Africa tuna vituko sana.
Aisee ni kweli, tusipoangalia Afrika litakuja kuwa bara la watu weupe, weusi tutabaki kama digi digi tu humu
Ndio maana hata Loliondo iliuzwa, mikopo imezidi!!Angalia trends, wafanyabiashara wote wakubwa TZ, Angalia Angola, Zambia, DRC mnufaika, Kenya, South Afrika, Namibia mnufaika mkubwa wa rasilimali za nchi ni nani?
Mikopo yetu tunaitoa wapi , sisi ndio ilibidi tuwe wakopeshaji wakubwa kama waarabu. Wanaokukopesha ndio wenye nguvu kukwambia ufanye nini? Wachukue nini mbadala kama ardhi, rasilimali.
Ila sasa angalia sera zetu za kutembeza bakuli. Kutojiamini, hatuna sera za kuwasaidia wengi. Matokea yako wazi.
Wachache wanufaikaji,wanajipigia debe, wengi vijijini, mtaani hawana milo mitatu? Situation kama hii ikiendelea hata kwa miaka 20/ 50/ 100 tutakuwa wapi?
Loliondo na maeneo mengine muhimu. Vingi vitauzwa. Hakuna cha bure, shangazi,mjomba especially ukiwa hauna akili, uwezo, pesa. Utasaini kila kitu.Ndio maana hata Loliondo iliuzwa, mikopo imezidi!!
Nini maana ya historiaPendekezo hilo nalitoa kwa sababu kuu tatu.