Kizibo
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 4,617
- 10,524
Habari.
Napendekeza Mange Kimambi awe mkuu wa idara ya upelelezi na ujasusi wa Gen Z.
Tukishamteua, naye atateua/atapndikiza agents katika idara nyeti kama jeshini, polisi, uhamiaji hadi ikulu ambao watakuwa wanampa habari.
Pia, napendekeza au nasharu kuwe na viongozi wa Gen Z katika mikoa, wilaya, hadi mitaani. Kwanini??
Hii inaweza kuwa counter strategy ya kuzimwa internet na migandao. Tunaweza kuwa tunapashana habari kupitia viongoz hao, kiongozi wa kitaifa anatoa info kwa viongozi wa mikoa nao wanawapa info viongozi wa wilaya, hivyo hivyo hadi mitaani.
Kama hatuwezi kuwa na viongozi kwa mtindo huo, basi tuumize vichwa namna tunavyoweza kuwa tunahamasishana baada ya internet na mitandao kuzimwa.
Pia, counter strategy ya curfew (amri ya kutokutoka ndani) iwe hivi.
Kabla ya maandamano tuwe tumeshakubaliana kiwa ikiwa amri hiyo itatolewa, Gen Z tu-pretend kubaki ndani..ILA siku wakiitoa hiyo amri tunaingia road tena.
Tunatii amri hata wiki nzima, ila siku serikali ikitoa tamko shughuli ziendelee, siku hiyo hiyo tunaenddelea na maamdamano.
Wakiweka curfew tena tunatulia, wakiitoa tunaingia road tena.
Pamoja na hayo, tutafute counter strategy ya:
@ polisi kutumia silaha za moto mitaani.
b) polisi kufata watu majumbani na kiwapoga risasi
Maandamano yanayofata yasiwe rondom, tuwe well organized and informed, with full of altenative plans in case fore plans fail.
Nawasilisha