FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kwahiyo tukubali tu kulawitiwa mchana kweupe kwenye kodi za miamala ya simu?Haina maana kwa sababu:
- Utaingia gharama kwenye muda + pesa ya kuupeleka mzigo.
- Kuna uwezekano mkubwa sana kuipoteza hiyo hela(risk ipo juu sana)
- Kutuma kwenda nje ya mkoa haitowezekana.
Kwa sasa nikutumia zaidi njia za zamani, ikishindikana kabisa bora kutuma pesa kupitia benkiKwahiyo tukubali tu kulawitiwa mchana kweupe kwenye kodi za miamala ya simu?
Kwakweli, haina namna...Naona tunarudi enzi za kutuma pesa kupitia postal money order.
Nimetizama gharama za kutuma na kutoa pesa safaricom Kenya kwa madhumuni ya kulinganisha na gharama za vodacom.Kwakweli, haina namna...
Serikali itakuwa na pesa nyingi mno mwaka huu wa fedhaNgumu sana, uaminifu kwenye pesa huaga ni mdogo sana...