DOKEZO Napendekeza meter za maji zifungwe mifumo ya ‘LUKU’

DOKEZO Napendekeza meter za maji zifungwe mifumo ya ‘LUKU’

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Iringa ni pazur na nimerud hiv juz kuwaona wazee baada ya miaka mingi pamebadilika sana.
Hasa maeneo ya municipal council.
Hali ya hewa iko safi sana..barabara safi movements hukwami...
Kwakifup pako vizur sema tu wengine maisha yametufanya tuishi mbali.

Niko mitaa ya uhindini hapa maeneo ya exim bank.
Karib sana
IMG_20210917_165231.jpg

Kihesa hakubadiliki tu kuko vilevile.
Kuna ka bar kanaitwa Essence nilifika wiki iliyopita nimezurura sio kidogo.

IMG_20211108_161159.jpg

Mashine tatu right?
255716557135_status_4655c38a058e43a0a438a16275672cbd.jpg
hii tabia muache ndio tutahamia huko
 
Hizi meter tumefungiwa zina zaid ya miez 9 sasa toka mwaka jana walifunga ... kwamim zimenipa nafuu mana kuna wakat hawa majamaa ni kama hawasomi meter wanakadiria ila now nalipia ninachonunua... kuna wakat yakiisha nanunua hata ya buku chap yanasogeza siku
 
Mamlaka za maji zinatumia gharama kubwa sana kukusanya biki za maji toka kwa wateja wa maji ambao hawalipii hadi wakatiwe.

Hapa naona Dawa ni ‘Lipia maji kadri unavyotumia’. Zifungwe meter za kielectronic ambazo zitakuwa zinatumia umeme kujiendesha, na kwa sehemu ambazo hazina umeme, nasi meter iambatane na kisolar panel kidogo cha kuchaji betri itakayokuwa ndani kwa ndani.

Kazi ya mamlaka za maji itakuwa ni kuzikagua mara moja moja kwa kushtukiza iki kubaini zile meter ambazo zimechezewa.

Nakaribisha maoni
Mbona zipo kitambo tu mkuu! Mwaka 2018 Kuna kampuni ilikuwa inafanya ufungaji wa hizo mita kwa majaribio katika miji ya iringa, morogoro na Arusha. Na zilifanya vema kabisa.
 
huduma ya prepaid ni nzuri kwa mteja asiye mwaminifu na mara nyingi inafaa kwa wateja wasumbufu kama mimi ambaye huwa nalipa ninapokaribila ceiling ndo nalipa kama nusu kisha maisha yanaendelea.
ni utaratibu mzuri kabisa kulipa huduma baada ya kutumia kwangu hata kodi ya nyumba huwa namlipa mwenye nyumba baada ya kutumia angalau mwezi mmoja.
ninyi unaopenda kulipa mapema kabla ya kutumia ni wale umliozoea boom likitoka mnalipa kabisa chakula na pia unalipa shuttle kabisa huu ni utaratibu mbaya na si mzuri katika maisha serikali yenyewe inawakopa wazabuni na pia wafanyakazi unafanyakazi kisha unalipwa baadaye sasa iweje wewe unayefanya kazi kuanzia tarehe moja na unalipwa tarehe 30 uwe na uwezo wa kulipa hela tarehe 30 huu ni wizi 🤣 🤣 🤣 !
ukiona kuna huduma ambayo unawaweza kuipata kwa kukopa bila riba wala ziada sio ya kuiachia itumie fursa vizuri acha uzembe na woga🤣🤣🤣 kila siku fedha ina thamani tofauti na fursa tofauti laizma uzingatie hilo mfano kwa mwezi uliopita mafuta yalikuwa labda 2500 kwa lita na kwa mwezi mzima ulihitaji shilingi 100,000/- kununua mafuta lita 40. kununua lita hizo mwezi huu unahitaji 128,000/- kwa nini ujipe tabu!
na wakati huo unajipendekeza kulipa bili 100,000 in advance wakati aliyetumia kwanza kiasi hicho hicho kapunguza deni kwa 30,000/- maji hajakatiwa na anaendelea kutumia maji huku akiendesha gari mwisho wa mwezi inakuja bili nyingi ya 100,000/- na ile inakuwa jumla170,000/- anapunguza tena 50,000/- na maisha yakienda🤣🤣🤣.
nyie vipi maisha mjini hesabu ala! hao watoto wakisure tu hawapendi kulipia huduma kabla ya kutumia.
hizo bia tu tunakunywa kwanza na tunalewa baadaye kisha ndo tunalipa itakuwa maji nyie vipi?
 
hebu tujaribu kuangalia vitu vichache tuone ingekuwaje
 

Attachments

Mamlaka za maji zinatumia gharama kubwa sana kukusanya biki za maji toka kwa wateja wa maji ambao hawalipii hadi wakatiwe.

Hapa naona Dawa ni ‘Lipia maji kadri unavyotumia’. Zifungwe meter za kielectronic ambazo zitakuwa zinatumia umeme kujiendesha, na kwa sehemu ambazo hazina umeme, nasi meter iambatane na kisolar panel kidogo cha kuchaji betri itakayokuwa ndani kwa ndani.

Kazi ya mamlaka za maji itakuwa ni kuzikagua mara moja moja kwa kushtukiza iki kubaini zile meter ambazo zimechezewa.

Nakaribisha maoni
Zipo ila kwa sasa zipo kwa taasisi tu.
 
Back
Top Bottom