FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kwa kupitia mfumo huu, ada za magari zitakuwa ‘charged automatically’ bila kuwa na wafanyakazi wanaotembea na vimashine vya EFD kuoiga oicha magari, how?
Ni kwamba zile sehemu zote za parking za kulipia, zitafungiwa ‘Sensor’ za ‘Bluetooth’, ambapo magari yote Dar nayo yatafungiwa ‘Bluetooth ID electronic chips’. Gari itakaposogea karibu vya kutosha (ndani ya mzingo wa meter 1 wa ‘parking slot’, na ikakaa hapo kwa zaidi ya dakika 5, basi ile ‘bluetooth chip’ ya kwenye hari na ‘Bluetooth sensor’ ya parking slot zitafanya ‘pairing’ na moja kwa moja gari itaanza kuwa ‘billed’. Billing itaendelea hadi pale gari itakapoondoka na kudisconnecttoka kwenye bluetooth ya parking.
Faida za mfumo huu ni lukuki, ikiwemo kuepusha hujuma za wafanyakazi wasio waadilifu, kupunguza gharama za mishahara nk.
Mteja atatumiwa Sms yenye control number kila mwisho wa wiki au mwezi ili alipe bili yake ya parking.