Achana nae huyo, kijana anaonekana haijui faida ya mkoa wa Kilimanjaro kitaifa na madhara yake endapo mkoa utawekwa lockdown.Hizo familia zinazopoteza watu zamu kwa zamu ni kutokana na corona ama? ni familia ngapi zilizopoteza hao watu? Ama naww unahemshwa na mihemuko? Umejipanga kwa lock down? Uelewa wako kuhusu lock down ni kiac gan?
Unasema mwanza ipi mkuu?mbona huku sijasikia hata mtu anaepiga chafyaMwanza ndio iwekwe lockdown maana imelemewa na covid
Walishangilia kifo cha Magufuli Mungu anawanyooshaKiukweli kama tunahitaji usalama basi mkoa wa Kilimanjaro uwekwe lock down. Hali huko ni mbaya kuliko inavyoelezwa.
Serikali kama hamtachukua tahadhari mapema msije kusema hamkuambiwa. Wageni wanoingia na kutoka kila siku ndani ya mkoa huo na kusambaa mikoa mingine ni kiama kwa wengine. Imeshakuwa hivyo kuwa Kilimanjaro ina wimbi kubwa la maambukizi ya Covid 19.
Familia moja inapoteza watu kwa zamu na naona serikali imechukulia poa watu wanapita pita tu.
Sisi tumesema!
Ile mikusanyiko ya polisi haikuleta wimbi la nne?Unasema mwanza ipi mkuu?mbona huku sijasikia hata mtu anaepiga chafya
hao hata likiwaendea wimbi la 10 ni sawa tu,hawana msaad wwte zaid ya kubambikua watu kesi za uongoIle mikusanyiko ya polisi haikuleta wimbi la nne?
Acha kuandika non sense ...fikiria mara mbili kama ya kuandikaWalishangilia kifo cha Magufuli Mungu anawanyoosha
Wacha wapate adhabu kama ni baridi mbona Makambako,Njombe kuko poa ? Wacha wachaga waipate fresh ya shambaWalishangilia kifo cha Magufuli Mungu anawanyoosha
Eneo hili linahitajika uchunguzi wa kisayansi kabisa kama waleta taarifa humu wanasema ukweli. Hili lifanyoke kabla ya kuchukua hatua pendekezwa kamq ni kweli.Wacha wapate adhabu kama ni baridi mbona Makambako,Njombe kuko poa ? Wacha wachaga waipate fresh ya shamba
Mwezi march mwaka huu covid-19 ilimpiga vibaya sana bi mkubwa, alikuwa hoi akakata tamaa kabisa ya kuishi.
Nashukuru Mungu tulikuja kumpeleka hospitali moja akatibiwa vizuri na akapona.
Wakati huu wa wimbi la 3 tumemuelekeza abaki nyumbani tu. Hana chaguo lingine zaidi ya hilo.
Kwahiyo bibi yako alikuwa mzurulaji sio!!??Mwezi march mwaka huu covid-19 ilimpiga vibaya sana bi mkubwa, alikuwa hoi akakata tamaa kabisa ya kuishi.
Nashukuru Mungu tulikuja kumpeleka hospitali moja akatibiwa vizuri na akapona.
Wakati huu wa wimbi la 3 tumemuelekeza abaki nyumbani tu. Hana chaguo lingine zaidi ya hilo.