Napendekeza njia Bora ya kuwaangamiza Wanamtandao

Griss

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2025
Posts
336
Reaction score
1,960
Wakuu mtandao ni mkubwa mno ni ngumu kuwadhibiti bila Mungu kuingilia Kati au wananchi wa kipato Cha chini kujitoa Muhanga na kuingia barabarani kitu ambacho Watanzania hawakiwezi.

Sasa napendekeza njia Bora ya kuufuta mtandao ni kuungana na mtandao ili kujua kila hatua na kila mpango na kuja kukata mzizi wake kule chini na kuangusha mbuyu kabisa

Hizi porojo za Polepole na Gwajima hazitasaidia lolote wazalendo waingie kazini wawe undercover wa hawa wezi wa Taifa.

State within the state then tutawasambaratisha within 10 years
 
Naona unazidi kueneza propaganda uchwara za kuwaaminisha watu kuwa wanamtandao hawawezekaniki.

Unajifanya unasaidia kumbe una lengo la kuwakatisha tamaa wazalendo na kuwafanya waone hawawezi.

Wanamtandao ni watu watano tu, wengine waliosalia ni misukule yao tu ambayo kwa wakati wote inangoja kupokea maelekezo.

Wewe tumekushtukia, ulikuja hapa na hadithi uchwara za kuwapoteza maboya na kuwaaminisha watu kuwa ati Jeshi limemuweka samia chini ya ulinzi na kumfungia kwenye kakibanda huko kizimkazi. Baada ya muda tukamuona anachukua fomu na kuendelea kuupiga mwingi kama kawaida.

Unajaribu kupindisha na kukengeusha. Muongo wewe. Janja janja, mdanganyifu.

Hata yule Britanicca ni kuwa nae macho sana. Janja janja mingi.
 
Naona unazidi kueneza propaganda uchwara za kuwaaminisha watu kuwa wanamtandao hawawezekaniki.

Unajifanya unasaidia kumbe una lengo la kuwakatisha tamaa wazalendo na kuwafanya waone hawawezi.

Wanamtandao ni watu watano tu, wengine waliosalia ni misukule yao tu ambayo kwa wakati wote inangoja kupokea maelekezo.
Huna hoja wala hutaambua kitu. Unachosema ni kunizushia wala sikulenga hayo unayobwabwaja
 
Naona unazidi kueneza propaganda uchwara za kuwaaminisha watu kuwa wanamtandao hawawezekaniki.

Unajifanya unasaidia kumbe una lengo la kuwakatisha tamaa wazalendo na kuwafanya waone hawawezi.

Wanamtandao ni watu watano tu, wengine waliosalia ni misukule yao tu ambayo kwa wakati wote inangoja kupokea maelekezo.
hilo wigi badilisha ni la siku nyingi,
 
Wakuu mtandao ni mkubwa mno ni ngumu kuwadhibiti bila Mungu kuingilia Kati au wananchi wa kipato Cha chini kujitoa Muhanga na kuingia barabarani kitu ambacho Watanzania hawakiwezi.

Sasa napendekeza njia Bora ya kuufuta mtandao ni kuungana na mtandao ili kujua kila hatua na kila mpango na kuja kukata mzizi wake kule chini na kuangusha mbuyu kabisa

Hizi porojo za Polepole na Gwajima hazitasaidia lolote wazalendo waingie kazini wawe undercover wa hawa wezi wa Taifa.

State within the state then tutawasambaratisha within 10 years
Vipi hao undercover wako wakijagundua hakuna ukweli wowote katika mnayoyasema Bali ni matokeo tu ya umaskini, wivu, njaa na roho mbaya zenu tu washenzi nyie msiofadhilika?!!!
 
Wakuu mtandao ni mkubwa mno ni ngumu kuwadhibiti bila Mungu kuingilia Kati au wananchi wa kipato Cha chini kujitoa Muhanga na kuingia barabarani kitu ambacho Watanzania hawakiwezi.

Sasa napendekeza njia Bora ya kuufuta mtandao ni kuungana na mtandao ili kujua kila hatua na kila mpango na kuja kukata mzizi wake kule chini na kuangusha mbuyu kabisa

Hizi porojo za Polepole na Gwajima hazitasaidia lolote wazalendo waingie kazini wawe undercover wa hawa wezi wa Taifa.

State within the state then tutawasambaratisha within 10 years
Una hela? Maana huwezi kuingia kwenye mtandao kama ni kapuku kama wewe. Na ukiingia kapuku kama wewe (na hapa ujue wapo wana Mtandao kama wewe) basi HUWEZI kuujua mtandao maana HAIJAWAHI kutokea getikipa akajua kilichopikwa ndani zaidi ya alichaletewa kula! Ahahahahaha!!
 
Wakuu mtandao ni mkubwa mno ni ngumu kuwadhibiti bila Mungu kuingilia Kati au wananchi wa kipato Cha chini kujitoa Muhanga na kuingia barabarani kitu ambacho Watanzania hawakiwezi.

Sasa napendekeza njia Bora ya kuufuta mtandao ni kuungana na mtandao ili kujua kila hatua na kila mpango na kuja kukata mzizi wake kule chini na kuangusha mbuyu kabisa

Hizi porojo za Polepole na Gwajima hazitasaidia lolote wazalendo waingie kazini wawe undercover wa hawa wezi wa Taifa.

State within the state then tutawasambaratisha within 10 years
They think that they living in heaven.but they living in hell,time alone will tell
 
Hakuna aliyetia dole kwenye buyu la hasali na akaacha kulamba
 
Hizi account mpya zinazomwongelea polepole, siyo za kujibizana nazo. Kwa utafiti wangu, hizi accounts zimefunguliwa siku moja
 
Wakuu mtandao ni mkubwa mno ni ngumu kuwadhibiti bila Mungu kuingilia Kati au wananchi wa kipato Cha chini kujitoa Muhanga na kuingia barabarani kitu ambacho Watanzania hawakiwezi.

Sasa napendekeza njia Bora ya kuufuta mtandao ni kuungana na mtandao ili kujua kila hatua na kila mpango na kuja kukata mzizi wake kule chini na kuangusha mbuyu kabisa

Hizi porojo za Polepole na Gwajima hazitasaidia lolote wazalendo waingie kazini wawe undercover wa hawa wezi wa Taifa.

State within the state then tutawasambaratisha within 10 years
Sasa kati ya Polepole na hao ‘wazalendo kivuli’, nani hadi sasa ameonyesha kufanya jambo la maana? Acha porojo, anza wewe kutimiza wajibu wako, waache kina Gwajima, Polepole na wengine wafanye kwa nafasi zao. Wewe pia fanya kwa nafasi yako, acha maneno matupu.
 
Back
Top Bottom