Huna hoja wala hutaambua kitu. Unachosema ni kunizushia wala sikulenga hayo unayobwabwajaNaona unazidi kueneza propaganda uchwara za kuwaaminisha watu kuwa wanamtandao hawawezekaniki.
Unajifanya unasaidia kumbe una lengo la kuwakatisha tamaa wazalendo na kuwafanya waone hawawezi.
Wanamtandao ni watu watano tu, wengine waliosalia ni misukule yao tu ambayo kwa wakati wote inangoja kupokea maelekezo.
hilo wigi badilisha ni la siku nyingi,Naona unazidi kueneza propaganda uchwara za kuwaaminisha watu kuwa wanamtandao hawawezekaniki.
Unajifanya unasaidia kumbe una lengo la kuwakatisha tamaa wazalendo na kuwafanya waone hawawezi.
Wanamtandao ni watu watano tu, wengine waliosalia ni misukule yao tu ambayo kwa wakati wote inangoja kupokea maelekezo.
Vipi hao undercover wako wakijagundua hakuna ukweli wowote katika mnayoyasema Bali ni matokeo tu ya umaskini, wivu, njaa na roho mbaya zenu tu washenzi nyie msiofadhilika?!!!Wakuu mtandao ni mkubwa mno ni ngumu kuwadhibiti bila Mungu kuingilia Kati au wananchi wa kipato Cha chini kujitoa Muhanga na kuingia barabarani kitu ambacho Watanzania hawakiwezi.
Sasa napendekeza njia Bora ya kuufuta mtandao ni kuungana na mtandao ili kujua kila hatua na kila mpango na kuja kukata mzizi wake kule chini na kuangusha mbuyu kabisa
Hizi porojo za Polepole na Gwajima hazitasaidia lolote wazalendo waingie kazini wawe undercover wa hawa wezi wa Taifa.
State within the state then tutawasambaratisha within 10 years
Janja janja mingi wewe.Huna hoja wala hutaambua kitu. Unachosema ni kunizushia wala sikulenga hayo unayobwabwaja
Una hela? Maana huwezi kuingia kwenye mtandao kama ni kapuku kama wewe. Na ukiingia kapuku kama wewe (na hapa ujue wapo wana Mtandao kama wewe) basi HUWEZI kuujua mtandao maana HAIJAWAHI kutokea getikipa akajua kilichopikwa ndani zaidi ya alichaletewa kula! Ahahahahaha!!Wakuu mtandao ni mkubwa mno ni ngumu kuwadhibiti bila Mungu kuingilia Kati au wananchi wa kipato Cha chini kujitoa Muhanga na kuingia barabarani kitu ambacho Watanzania hawakiwezi.
Sasa napendekeza njia Bora ya kuufuta mtandao ni kuungana na mtandao ili kujua kila hatua na kila mpango na kuja kukata mzizi wake kule chini na kuangusha mbuyu kabisa
Hizi porojo za Polepole na Gwajima hazitasaidia lolote wazalendo waingie kazini wawe undercover wa hawa wezi wa Taifa.
State within the state then tutawasambaratisha within 10 years
They think that they living in heaven.but they living in hell,time alone will tellWakuu mtandao ni mkubwa mno ni ngumu kuwadhibiti bila Mungu kuingilia Kati au wananchi wa kipato Cha chini kujitoa Muhanga na kuingia barabarani kitu ambacho Watanzania hawakiwezi.
Sasa napendekeza njia Bora ya kuufuta mtandao ni kuungana na mtandao ili kujua kila hatua na kila mpango na kuja kukata mzizi wake kule chini na kuangusha mbuyu kabisa
Hizi porojo za Polepole na Gwajima hazitasaidia lolote wazalendo waingie kazini wawe undercover wa hawa wezi wa Taifa.
State within the state then tutawasambaratisha within 10 years
Katika hao watano wa kuanza naye ni yule chekacheka. Akifa huyu baaasi!!Wanamtandao ni watu watano tu, wengine waliosalia ni misukule yao tu ambayo kwa wakati wote inangoja kupokea maelekezo.
Acha kuishi kwa hofu namna hiyo.Hizi account mpya zinazomwongelea polepole, siyo za kujibizana nazo. Kwa utafiti wangu, hizi accounts zimefunguliwa siku moja
Sasa kati ya Polepole na hao ‘wazalendo kivuli’, nani hadi sasa ameonyesha kufanya jambo la maana? Acha porojo, anza wewe kutimiza wajibu wako, waache kina Gwajima, Polepole na wengine wafanye kwa nafasi zao. Wewe pia fanya kwa nafasi yako, acha maneno matupu.Wakuu mtandao ni mkubwa mno ni ngumu kuwadhibiti bila Mungu kuingilia Kati au wananchi wa kipato Cha chini kujitoa Muhanga na kuingia barabarani kitu ambacho Watanzania hawakiwezi.
Sasa napendekeza njia Bora ya kuufuta mtandao ni kuungana na mtandao ili kujua kila hatua na kila mpango na kuja kukata mzizi wake kule chini na kuangusha mbuyu kabisa
Hizi porojo za Polepole na Gwajima hazitasaidia lolote wazalendo waingie kazini wawe undercover wa hawa wezi wa Taifa.
State within the state then tutawasambaratisha within 10 years
Usinifundishe namna ya kuishi,Acha kuishi kwa hofu namna hiyo.