Napendekeza rasmi jina la ufupisho la mama liwe SASHA

Wakuu napendekeza jina rasmi la mama yetu mpendwa Samia suluhu hassan liwe SASHA kama ambavyo watangulizi walikuwa na ufupisho.

Mzee magufulo aliitwa kwa kifupi JPM yaani John pombe magufuli.

Mzee kikwete aliitwa JK yaani jakaya kikwete.

Sasa na mama naomba Tumuite SASHA ikimaanisha
SA = samia
S =suluhu
HA = hassan.

Hii SASHA ni rahisi kuitamka na kuiandika kulika SSH ambayo ni ngumu kuitamka na haileti utamu ule wa uwepesi kama Jeikei ama jeipiem.

mama SASHA oyeeeee.
Imekaa vizuri kwa jinsia yake [emoji120][emoji122]

Odhis *
 
Wakuu napendekeza jina rasmi la mama yetu mpendwa Samia suluhu hassan liwe SASHA kama ambavyo watangulizi walikuwa na ufupisho.

Mzee magufulo aliitwa kwa kifupi JPM yaani John pombe magufuli.

Mzee kikwete aliitwa JK yaani jakaya kikwete.

Sasa na mama naomba Tumuite SASHA ikimaanisha
SA = samia
S =suluhu
HA = hassan.

Hii SASHA ni rahisi kuitamka na kuiandika kulika SSH ambayo ni ngumu kuitamka na haileti utamu ule wa uwepesi kama Jeikei ama jeipiem.

mama SASHA oyeeeee.
Haina maana, mama analeta suluhu Tanzania, SASHA haileti maana ya Suluhu
 
Discussion za dizaini hii maana yake ni tuna amani mioyoni na akilini, pia tuna furaha.... Mungu amuongoze mama Samia.
 
Back
Top Bottom