Napendekeza rasmi jina la ufupisho la mama liwe SASHA

Sugar coating,

Wapigaji mpo vizuri sana kwenye hiyo sekta.
 
"SAMIA" inatosha sana!
 
Sasha? Jina la SSH limetosha huyo sasha hatumjui. Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Du mara SSH mara SASHA mnatuvuruga

Kwa wale wenzangu wamafichoni tunaotumia G-Codes kudadavua mambo basi napendekeza aitwe SHISHI BABE

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Siungi mkono mapendekezo: Sababu SASHA ni mtoto wa Obama itakuwa copy and paste.
Mapendekezo ya jina, iwe."SSHA" matamshi ni 'sha'.
 
Mataga mpoooo??
Mbona mmenuna??
 
Acha bando lipande bei tuu saingine mnajadiligi maujinga sana chyaa!!
 
Mwiteni jina alilopewa na wazazi wake.

Sasha ni katuni dizaini za kina Tom ana jerry
 
SASHA can make MATHA (Make Tanzania Happy Again)
Ila SASHA limekaa Kigalatia sana[emoji1][emoji1787][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji2839][emoji2839][emoji2839]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

"MIKUMI" tena .... Make Tanzania Happy Again - MATHA
 
Au sisi wenye KITHEM ndio kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…