Napendekeza Samia ateue aidha Mchengerwa, Wanu siyo Tulia

Father of All

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2026
Posts
458
Reaction score
843
1787680881336.png
1787680943505.png

Nimependa kujiuzulu kwa Nchimbi ili kupisha utawala wa kifalme . Afanye hivyo kama mfadhili na rafiki yake Museveni kieleweke. Sasa naamini Tanzania ni shamba la bibi tena mwenyewe kiziwi na kipofu.

Kwa ufupi, hao hapo juu ndo napendekeza wateuliwe mmojawapo tumalizane na kianze kuumana kwenye chama cha machawa.. Du! Nimemsahau Rizione!

Sitaki atuletee michawa kama Kabundi na wengine. Kama wote watapwaya, amrejeshe Dk Mpango ampange na kumpangia.
Naawasilisha.
 
Attachments

  • 1787680779730.png
    1787680779730.png
    2.8 MB · Views: 14
  • 1787680837888.png
    1787680837888.png
    1,002.7 KB · Views: 12
View attachment 3656913
View attachment 3656916View attachment 3656917
Nimependa kujiuzulu kwa Nchimbi ili kupisha utawala wa kifalme na kurambana makalio. Afanye hivyo kama mfadhili na rafiki yake Museveni kieleweke. Sasa naamini Tanzania ni shamba la bibi tena mwenyewe kiziwi na kipofu. Kwa ufupi, hao hapo juu ndo napendekeza wateuliwe mmojawapo tumalizane na kianze kuumana kwenye chama cha machawa.. Du! Nimemsahau Rizione! Sitaki atuletee michawa kama Kabundi na wengine. Kama wote watapwaya, amrejeshe Dk Mpango ampange na kumpangia.
Naawasilisha.
Royàl family ruling TANGANYIKA
 
View attachment 3656916View attachment 3656917
Nimependa kujiuzulu kwa Nchimbi ili kupisha utawala wa kifalme . Afanye hivyo kama mfadhili na rafiki yake Museveni kieleweke. Sasa naamini Tanzania ni shamba la bibi tena mwenyewe kiziwi na kipofu.

Kwa ufupi, hao hapo juu ndo napendekeza wateuliwe mmojawapo tumalizane na kianze kuumana kwenye chama cha machawa.. Du! Nimemsahau Rizione!

Sitaki atuletee michawa kama Kabundi na wengine. Kama wote watapwaya, amrejeshe Dk Mpango ampange na kumpangia.
Naawasilisha.
Hiyo nafasi ni ya sisi Wakatoliki. Tayari tumeshagua majina Matatu ya kumpelea Rais ili achagh
 
View attachment 3656916View attachment 3656917
Nimependa kujiuzulu kwa Nchimbi ili kupisha utawala wa kifalme . Afanye hivyo kama mfadhili na rafiki yake Museveni kieleweke. Sasa naamini Tanzania ni shamba la bibi tena mwenyewe kiziwi na kipofu.

Kwa ufupi, hao hapo juu ndo napendekeza wateuliwe mmojawapo tumalizane na kianze kuumana kwenye chama cha machawa.. Du! Nimemsahau Rizione!

Sitaki atuletee michawa kama Kabundi na wengine. Kama wote watapwaya, amrejeshe Dk Mpango ampange na kumpangia.
Naawasilisha.
Amuweke Abdul ili naye nafasi yake iwe inaeleweka siyo hivi mara ameiwakilisha nchi kukutana na Museveni ilhali nafasi yake kwa tulio nje ya mfumo hatuifahamu.
 
View attachment 3656916View attachment 3656917
Nimependa kujiuzulu kwa Nchimbi ili kupisha utawala wa kifalme . Afanye hivyo kama mfadhili na rafiki yake Museveni kieleweke. Sasa naamini Tanzania ni shamba la bibi tena mwenyewe kiziwi na kipofu.

Kwa ufupi, hao hapo juu ndo napendekeza wateuliwe mmojawapo tumalizane na kianze kuumana kwenye chama cha machawa.. Du! Nimemsahau Rizione!

Sitaki atuletee michawa kama Kabundi na wengine. Kama wote watapwaya, amrejeshe Dk Mpango ampange na kumpangia.
Naawasilisha.
Makamo anayefaa ni Mama Salma Kikwete
 
Back
Top Bottom