mkatagogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 229
- 44
- Kada ya Ualimu-wavae mashati yenye vifungo mabegani vion meupe yaonyeshe madaraja yao kama vile grade A,AEO iii,EOii,EOi,PEOi,PEOii etc. Chini wavaa rangi blue iliyokolea.
- Wahasibu wote wavae mashati meupe na chini nyeusi mabegani wawekewe kama vifungo na kupewa vyeo kulingana na bodi ya uhasibu Tanzania mfano CPA,Ai-v ,OA, etc
- Wanasheria mashati meupe na tai nyekundu chini nyeusi,
- Afisa nyuki, kilimo, uvuvi, wavae maovaroli ya bluu
Mapendekezo yataendelea