Napendekeza sare za watumishi wa umma kama ifuatavyo

Napendekeza sare za watumishi wa umma kama ifuatavyo

mkatagogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2015
Posts
229
Reaction score
44
  1. Kada ya Ualimu-wavae mashati yenye vifungo mabegani vion meupe yaonyeshe madaraja yao kama vile grade A,AEO iii,EOii,EOi,PEOi,PEOii etc. Chini wavaa rangi blue iliyokolea.
  2. Wahasibu wote wavae mashati meupe na chini nyeusi mabegani wawekewe kama vifungo na kupewa vyeo kulingana na bodi ya uhasibu Tanzania mfano CPA,Ai-v ,OA, etc
  3. Wanasheria mashati meupe na tai nyekundu chini nyeusi,
  4. Afisa nyuki, kilimo, uvuvi, wavae maovaroli ya bluu

Mapendekezo yataendelea
 
Walimu wavae chupi nyeusi, katikati kwenye msamba ziandikwe "hapa kazi tu"
 
we mkali, kwenye overoli nimecheka mpaka machozi yamenitoka...we si mchezo, unafaa uwe kwenye baraza la mawaziri...
 
Mawaziri,katibu mkuu NA wakurugenzi wavae kawoshi,kaptura,soksi nyeupe na ndala za matairi ya gari
 
1.Kada ya Ualimu-wavae mashati yenye vufungo mabegani vion meupe yeshe madaraja yao kama vile grade A,AEO iii,EOii,EOi,PEOi,PEOii etc.chini wavaa rangi blue iliyokolea.
2.Wahasibu wote wavae mashati meupe na chini nyeusi mabegani wawekewe kama vifungo na kupewa vyeo kulingana na bodi ya uhasibu tz mfano CPA,Ai-v ,OA, etc
3.Wanasheria mashati meupe na tai nyekundu chini nyeusi,
4.Afisa nyuki,kilimo,uvuvi, wavae maovaroli ya bluu
Mapendekezo yataendelea

Bangi ya msoga Mara nyingi si nzuri
 
Nimependa hiyo uniform ya hao no 4........watawakawaka ile mbayaaaa...........
 
Back
Top Bottom