Napendekeza serikali ifunge projector madarasa yote shule za msingi badala ya kuajiri walimu, hii itasaidia kuokoa takriban trillion 3 Kwa mwaka

Hii mbinu unayoipendekeza iliwahi kutumika nchi gani? Matokeo yake yalikuwaje? Ufaulu wao ulikuwaje?
Nawe ulifundishwa kwa njia hii?
Naamini mwalimu unayemlaumu kwa kutokujua HISABATI ndiye aliyekufikisha hapo ulipo sasa hivi. Acha dharau na dhahania zisizo na maana kwenye jamii kwani unaonekana kuwa mtu usiyependa wengine wasome kwa mifumo ya utoaji elimu iliyobuniwa tangu kale na ambayo wewe ni matokeo ya mifumo hiyo!
 
Kwa nini isifute kabisa walimu wote maafisa ELIMU tu watasimamia hilo suala!??? Marking watakuwa wanaajiri special Kwa mda wa marking tu
 
Kwa nini isifute kabisa walimu wote maafisa ELIMU tu watasimamia hilo suala!??? Marking watakuwa wanaajiri special Kwa mda wa marking tu
Bado wanahitajika watu wa kusimamia attendance na kuchapa viboko wanaopiga kelele, utoro, na kutoandika notes.
 
Tungeanza na bunge kwanza halina maana yoyote, waalimu ndio nguzo ya taifa waliosoma wamenielewa
 
Ulikuwa na hoja nzuri ila ikaja kuharibiwa na kejeli na dharahu Kwa walimu, kwamba hawajui kufundisha. Wewe ni assessor? Ulisomea ulaya?

Kama umejua kusoma, kuandika na kuhesabu-KKK, Kwa kufundishwa na walimu wa TZ, basi walimu wapewe kongore [emoji122][emoji122][emoji122] zao (wanajua kufundisha).

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hata hapa projector zinaweza kusaidia kuwapa wanafunzi maarifa ya ufundi
 
Ungewaza kupunguza idadi ya wabunge na vyeo vinavyoingiliana kiutendaji Serikalini ungelisaidia sana hili Taifa kuliko kujaribu kuchezea mfumo wa elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…