Napendekeza Serikali ya Tanzania ichapishe Noti za Shilingi Elfu (50,000) na Laki moja (100,000)

Napendekeza Serikali ya Tanzania ichapishe Noti za Shilingi Elfu (50,000) na Laki moja (100,000)

Kuchapisha notes, ni indicator ya Ku collapse kwa uchumi wa nchi. Yaan, bei za vitu zimepanda sana na zinapanda kwa haraka within a month, week tunashindwa kubeba pesa nyingi kwenye pochi.
Ndugu hivi kweli unaujua uchumi? Kuwa, na notes za, shs 50,000 na 100,000 it's an indicator of a total collapse of the country economy. Hauwez kuweka pesa, kwenye pochi kwenda, sokoni.Pesa ni nyingi sana. Unahitaji kuwa, na notes moja ya shs 100,000.Bado hatujafika huko. Bei ya soda in a kuwa shs 20,0000.Bia in a kuwa 50,000.Then we will need your suggestion.
 
Haya mawazo ya huyu dada ni ya kiswahiliswahili na ni ya watu walikokulia kwenye system hivyo wanatafuta njia ya kufisadi kwa njia ya kuchapisha note mpya.Huyu dada usione anaanzisha hij agenda,,wanajambo laonyuma ya pazia
 
Napenda kutoa mapendekezo muhimu kwa Serikali ya Tanzania (GOT) na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kuhusu umuhimu wa kuchapisha noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000. Pendekezo hili lina lengo la kuongeza hadhi ya fedha nchini na kuleta faida za kiuchumi na kifedha kwa taifa letu.

View attachment 2713750

1. Pendekezo langu la kwanza ni kwamba noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000 zitaongeza hadhi ya fedha nchini Tanzania. Kuwa na noti za thamani kubwa katika mzunguko wa fedha kunaweza kuimarisha sifa ya taifa letu katika jumuiya ya kimataifa na kuonyesha ustawi wa uchumi wetu. Nchi nyingi duniani zimechukua hatua kama hii ili kuboresha hadhi ya fedha zao na kuonyesha nguvu ya uchumi wao. Kwa kuongeza noti za Shilingi 50,000 na 100,000, Tanzania itajiweka katika kundi la nchi zinazofanya biashara kubwa na kuonesha kuwa ni taifa lenye nguvu na lenye uwezo mkubwa kiuchumi.

2. Kuwa na noti za thamani kubwa pia kunaweza kuchangia kuimarisha imani kwa wawekezaji na wadau wa kimataifa. Uwezo wa kuwa na noti za Shilingi 50,000 na 100,000 utaashiria kwamba Tanzania ni nchi yenye uchumi imara na inayoweza kushughulikia shughuli kubwa za kifedha. Hii itavutia uwekezaji na kuchochea maendeleo ya kiuchumi katika nchi yetu. Wawekezaji watakuwa na imani zaidi katika mfumo wetu wa fedha na watakuwa tayari kuwekeza katika miradi ya maendeleo na biashara mbalimbali. Hii itasaidiap kuongeza fursa za ajira na kuchochea ukuaji wa uchumi wetu.

3. Noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000 pia zitawezesha shughuli za kifedha kuwa rahisi zaidi. Kuwa na noti za thamani kubwa kutawezesha mchakato wa malipo makubwa kwa urahisi na haraka zaidi. Biashara zinazohusisha miamala mikubwa zitaweza kufanya malipo kwa urahisi.

Ni matumaini yangu pendekezo hili litazingatiwa na Serikali ya Tanzania na Benki Kuu ya Tanzania kwa umakini na kufanyiwa tathmini ya kina.
 
Note ya 50,000, 100 000/=, nchi ilichapisha hizo noti ujue uchumi unaenda kudorora, hata hivyo inatakiwa noti ya kubwa iwe sh 1000/=, sh 5, 10, 20, zirudishwe
Umewahi kunununua kitu cha elfu 50 ukamlipa muuzaji kwa mtandao wa simu au bank. Hiyo transaction ya elfu 50 uliyo ifanya kwa kutoa noti ya elfu 50 kwa njia ya LIPA ili athiri uchumi?

Noti ni storage ya thamani ya pesa tu kama container. Usikute hapo ulipo umehifadhi noti ya elfu 20 kwenye M-Pesa.

Nchi za wenzetu ambazo walisha acha kutumia noti zilizochapichwa watu wanafanya transaction kwa noti za online.
 
Napenda kutoa mapendekezo muhimu kwa Serikali ya Tanzania (GOT) na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kuhusu umuhimu wa kuchapisha noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000. Pendekezo hili lina lengo la kuongeza hadhi ya fedha nchini na kuleta faida za kiuchumi na kifedha kwa taifa letu.

View attachment 2713750

1. Pendekezo langu la kwanza ni kwamba noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000 zitaongeza hadhi ya fedha nchini Tanzania. Kuwa na noti za thamani kubwa katika mzunguko wa fedha kunaweza kuimarisha sifa ya taifa letu katika jumuiya ya kimataifa na kuonyesha ustawi wa uchumi wetu. Nchi nyingi duniani zimechukua hatua kama hii ili kuboresha hadhi ya fedha zao na kuonyesha nguvu ya uchumi wao. Kwa kuongeza noti za Shilingi 50,000 na 100,000, Tanzania itajiweka katika kundi la nchi zinazofanya biashara kubwa na kuonesha kuwa ni taifa lenye nguvu na lenye uwezo mkubwa kiuchumi.

2. Kuwa na noti za thamani kubwa pia kunaweza kuchangia kuimarisha imani kwa wawekezaji na wadau wa kimataifa. Uwezo wa kuwa na noti za Shilingi 50,000 na 100,000 utaashiria kwamba Tanzania ni nchi yenye uchumi imara na inayoweza kushughulikia shughuli kubwa za kifedha. Hii itavutia uwekezaji na kuchochea maendeleo ya kiuchumi katika nchi yetu. Wawekezaji watakuwa na imani zaidi katika mfumo wetu wa fedha na watakuwa tayari kuwekeza katika miradi ya maendeleo na biashara mbalimbali. Hii itasaidia kuongeza fursa za ajira na kuchochea ukuaji wa uchumi wetu.

3. Noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000 pia zitawezesha shughuli za kifedha kuwa rahisi zaidi. Kuwa na noti za thamani kubwa kutawezesha mchakato wa malipo makubwa kwa urahisi na haraka zaidi. Biashara zinazohusisha miamala mikubwa zitaweza kufanya malipo kwa urahisi.

Ni matumaini yangu pendekezo hili litazingatiwa na Serikali ya Tanzania na Benki Kuu ya Tanzania kwa umakini na kufanyiwa tathmini ya kina.
Kwanini usingeshauri tupunguze masufuri 2 kutoka kwenye kila noti kama walivyofanya Zambia mwaka 2012 wakati Rais wao ni Michael Sata!!
 
Mimi njlipenda hii noti ya Elf 10 ipewe thamani. Ila kwakuwa hakuna kiongozi mwenye mawazo hayo huko juu acha niungane nawe kukubali wazo lako. Siku hizi wimbi la watu kwenda na mabegi yamejaa fedha benki imekuwa kawaida. Tena hata hawahofu kutembea nazo mitaani kwakuwa hazina thamani
Je ni Kweli kuwa nchi ikiwa na noti za thalami kubwa ni ishara kuwa uchumi wake ni imara?
Is there a correlation between purchasing power a currency and its denomination?
Nikijibiwa hayo maswali nitaunga mkono hoja!
 
Yuan 13 kule China bado unaitumia kupanda tax umbali mrefu sana, hapa Tanzania Tsh 100 inapata pipi moja ya mtoto mdogo.
5sh ya Kenya bado unanunulia andanzi na mkati unakula, hapa Tanzania haipo kabisa.
5US dollar bado ipo, hapa Tanzania 1tsh ipo makumbusho.
Ila bado kuna mtu anadanganya kuwa pesa zikiandikwa kwa figure kubwa inapandisha uchumi.
 
Back
Top Bottom