Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Sina utalaamu mkuu na hilo isipokuwa tu nina ABC za uchumi kwa mbali😂😂😂Kuna wale jamaa wanajitokezaga kuzitafuta hizo noti huwa wanazipeleka wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina utalaamu mkuu na hilo isipokuwa tu nina ABC za uchumi kwa mbali😂😂😂Kuna wale jamaa wanajitokezaga kuzitafuta hizo noti huwa wanazipeleka wapi
😂😂😂😂Sawa chief Wacha niendelee kupiga nazo picha tu utakapokua na 10000 nambie nayo nikae nayoSina utalaamu mkuu na hilo isipokuwa tu nina ABC za uchumi kwa mbali
Hizi akili zingine bhn ningependeza tuchapishiwe not 200 zile na 100Napenda kutoa mapendekezo muhimu kwa Serikali ya Tanzania (GOT) na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kuhusu umuhimu wa kuchapisha noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000. Pendekezo hili lina lengo la kuongeza hadhi ya fedha nchini na kuleta faida za kiuchumi na kifedha kwa taifa letu.
1. Pendekezo langu la kwanza ni kwamba noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000 zitaongeza hadhi ya fedha nchini Tanzania. Kuwa na noti za thamani kubwa katika mzunguko wa fedha kunaweza kuimarisha sifa ya taifa letu katika jumuiya ya kimataifa na kuonyesha ustawi wa uchumi wetu. Nchi nyingi duniani zimechukua hatua kama hii ili kuboresha hadhi ya fedha zao na kuonyesha nguvu ya uchumi wao. Kwa kuongeza noti za Shilingi 50,000 na 100,000, Tanzania itajiweka katika kundi la nchi zinazofanya biashara kubwa na kuonesha kuwa ni taifa lenye nguvu na lenye uwezo mkubwa kiuchumi.
2. Kuwa na noti za thamani kubwa pia kunaweza kuchangia kuimarisha imani kwa wawekezaji na wadau wa kimataifa. Uwezo wa kuwa na noti za Shilingi 50,000 na 100,000 utaashiria kwamba Tanzania ni nchi yenye uchumi imara na inayoweza kushughulikia shughuli kubwa za kifedha. Hii itavutia uwekezaji na kuchochea maendeleo ya kiuchumi katika nchi yetu. Wawekezaji watakuwa na imani zaidi katika mfumo wetu wa fedha na watakuwa tayari kuwekeza katika miradi ya maendeleo na biashara mbalimbali. Hii itasaidia kuongeza fursa za ajira na kuchochea ukuaji wa uchumi wetu.
3. Noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000 pia zitawezesha shughuli za kifedha kuwa rahisi zaidi. Kuwa na noti za thamani kubwa kutawezesha mchakato wa malipo makubwa kwa urahisi na haraka zaidi. Biashara zinazohusisha miamala mikubwa zitaweza kufanya malipo kwa urahisi.
Ni matumaini yangu pendekezo hili litazingatiwa na Serikali ya Tanzania na Benki Kuu ya Tanzania kwa umakini na kufanyiwa tathmini ya kina.
Apo kwenye 200 ilikua na thamani zaidiMaoni yako sio sahihi, ila nayaheshimu. Pesa kuwa na denominator kubwa ni kiashiria kwamba pesa imeishiwa thamani.
Noted😂😂😂😂Sawa chief Wacha niendelee kupiga nazo picha tu utakapokua na 10000 nambie nayo nikae nayo
NdioNoted
Haya ni mawazo mgando kabisa. Tungekuwa na uchumi mkubwa hatungehitaji hata kuwa na noti ya 10k. Jiulize kwanini US dollar yao hawana noti kubwa zaidi ya $100. Ni wazi pesa yetu Ina thamani ndogo mno, ndio maana, eg, ukienda sokoni kununua mbogaunahitaji kuwa na, mathalani 50k. Ingekuwa na thamani ungebeba elfu tano na ukaweza kununua mahitaji yaleyale. Kama hela yako Haina thamani utasemaje uchumi ni mkubwa?2. Kuwa na noti za thamani kubwa pia kunaweza kuchangia kuimarisha imani kwa wawekezaji na wadau wa kimataifa. Uwezo wa kuwa na noti za Shilingi 50,000 na 100,000 utaashiria kwamba Tanzania ni nchi yenye uchumi imara na inayoweza kushughulikia shughuli kubwa za kifedha. Hii itavutia uwekezaji na kuchochea maendeleo ya kiuchumi katika nchi yetu. Wawekezaji watakuwa na imani zaidi katika mfumo wetu wa fedha na watakuwa tayari kuwekeza katika miradi ya maendeleo na biashara mbalimbali. Hii itasaidia kuongeza fursa za ajira na kuchochea ukuaji wa uchumi wetu.
Mm nafikiri au kutokana na elimu ya uchumi niliyonayo ,ni kwamba nchi inalazimika kuchapisha pesa zake baada ya uchumi wake kudorora nauzalishaji pia kudorora.Mfano Zaire ya Mabutu ,uchumi ulidorora na kufikia total collapse of monetary system.The same to Zimbabwe.Yaan Bei ya vitu inapanda in a matter of hr.Unaenda sokoni na kikapu cha pesa ,kwa kuwa vitu vipo juu.Mfano nyanya zinauzwa shs 50,000.Au soda inauzwa laki tatu.This happened in Zaire those big days of Mobout Seseko.Nauli kutoka ya daladala inakuwa shs lak sita.Hapo ndio tunakwenda kuchapisha note ili kupunguza mzigo wa kuzibeba.Yaan hauwezi kuweka pesa mfukoni ili uende baa.Kwan pia ni laki nane.Napenda kutoa mapendekezo muhimu kwa Serikali ya Tanzania (GOT) na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kuhusu umuhimu wa kuchapisha noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000. Pendekezo hili lina lengo la kuongeza hadhi ya fedha nchini na kuleta faida za kiuchumi na kifedha kwa taifa letu.
1. Pendekezo langu la kwanza ni kwamba noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000 zitaongeza hadhi ya fedha nchini Tanzania. Kuwa na noti za thamani kubwa katika mzunguko wa fedha kunaweza kuimarisha sifa ya taifa letu katika jumuiya ya kimataifa na kuonyesha ustawi wa uchumi wetu. Nchi nyingi duniani zimechukua hatua kama hii ili kuboresha hadhi ya fedha zao na kuonyesha nguvu ya uchumi wao. Kwa kuongeza noti za Shilingi 50,000 na 100,000, Tanzania itajiweka katika kundi la nchi zinazofanya biashara kubwa na kuonesha kuwa ni taifa lenye nguvu na lenye uwezo mkubwa kiuchumi.
2. Kuwa na noti za thamani kubwa pia kunaweza kuchangia kuimarisha imani kwa wawekezaji na wadau wa kimataifa. Uwezo wa kuwa na noti za Shilingi 50,000 na 100,000 utaashiria kwamba Tanzania ni nchi yenye uchumi imara na inayoweza kushughulikia shughuli kubwa za kifedha. Hii itavutia uwekezaji na kuchochea maendeleo ya kiuchumi katika nchi yetu. Wawekezaji watakuwa na imani zaidi katika mfumo wetu wa fedha na watakuwa tayari kuwekeza katika miradi ya maendeleo na biashara mbalimbali. Hii itasaidia kuongeza fursa za ajira na kuchochea ukuaji wa uchumi wetu.
3. Noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000 pia zitawezesha shughuli za kifedha kuwa rahisi zaidi. Kuwa na noti za thamani kubwa kutawezesha mchakato wa malipo makubwa kwa urahisi na haraka zaidi. Biashara zinazohusisha miamala mikubwa zitaweza kufanya malipo kwa urahisi.
Ni matumaini yangu pendekezo hili litazingatiwa na Serikali ya Tanzania na Benki Kuu ya Tanzania kwa umakini na kufanyiwa tathmini ya kina.
Us noti kubwa si ni dola 100,kwa hiyo hiyo hela haina hadhi?,hebu jibu kwanza hiliNapenda kutoa mapendekezo muhimu kwa Serikali ya Tanzania (GOT) na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kuhusu umuhimu wa kuchapisha noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000. Pendekezo hili lina lengo la kuongeza hadhi ya fedha nchini na kuleta faida za kiuchumi na kifedha kwa taifa letu.
1. Pendekezo langu la kwanza ni kwamba noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000 zitaongeza hadhi ya fedha nchini Tanzania. Kuwa na noti za thamani kubwa katika mzunguko wa fedha kunaweza kuimarisha sifa ya taifa letu katika jumuiya ya kimataifa na kuonyesha ustawi wa uchumi wetu. Nchi nyingi duniani zimechukua hatua kama hii ili kuboresha hadhi ya fedha zao na kuonyesha nguvu ya uchumi wao. Kwa kuongeza noti za Shilingi 50,000 na 100,000, Tanzania itajiweka katika kundi la nchi zinazofanya biashara kubwa na kuonesha kuwa ni taifa lenye nguvu na lenye uwezo mkubwa kiuchumi.
2. Kuwa na noti za thamani kubwa pia kunaweza kuchangia kuimarisha imani kwa wawekezaji na wadau wa kimataifa. Uwezo wa kuwa na noti za Shilingi 50,000 na 100,000 utaashiria kwamba Tanzania ni nchi yenye uchumi imara na inayoweza kushughulikia shughuli kubwa za kifedha. Hii itavutia uwekezaji na kuchochea maendeleo ya kiuchumi katika nchi yetu. Wawekezaji watakuwa na imani zaidi katika mfumo wetu wa fedha na watakuwa tayari kuwekeza katika miradi ya maendeleo na biashara mbalimbali. Hii itasaidia kuongeza fursa za ajira na kuchochea ukuaji wa uchumi wetu.
3. Noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000 pia zitawezesha shughuli za kifedha kuwa rahisi zaidi. Kuwa na noti za thamani kubwa kutawezesha mchakato wa malipo makubwa kwa urahisi na haraka zaidi. Biashara zinazohusisha miamala mikubwa zitaweza kufanya malipo kwa urahisi.
Ni matumaini yangu pendekezo hili litazingatiwa na Serikali ya Tanzania na Benki Kuu ya Tanzania kwa umakini na kufanyiwa tathmini ya kina.
bora zipoteee,upo njiani mvua inanyesha ahweeee naingia nyumba yoyote ile bila hodi acha waniiite mwizi siwez loanisha noti zangu zichanike kizembeImajini una tunoti twako tuwili twa laki mbili alafu ghafla zipotee aisee mbona ntakufa kwa mawazo
Michongo inaingilianaje na hii mada mkuu.Yani upoteze laki mbili uchanganyikiwe namna hiyo!!??
Wito kwa serekali jitahidini watu wapate michongo ya maana
SAS unajengaje uchumi imara bila viwanda manager ?Napenda kutoa mapendekezo muhimu kwa Serikali ya Tanzania (GOT) na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kuhusu umuhimu wa kuchapisha noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000. Pendekezo hili lina lengo la kuongeza hadhi ya fedha nchini na kuleta faida za kiuchumi na kifedha kwa taifa letu.
View attachment 2713750
1. Pendekezo langu la kwanza ni kwamba noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000 zitaongeza hadhi ya fedha nchini Tanzania. Kuwa na noti za thamani kubwa katika mzunguko wa fedha kunaweza kuimarisha sifa ya taifa letu katika jumuiya ya kimataifa na kuonyesha ustawi wa uchumi wetu. Nchi nyingi duniani zimechukua hatua kama hii ili kuboresha hadhi ya fedha zao na kuonyesha nguvu ya uchumi wao. Kwa kuongeza noti za Shilingi 50,000 na 100,000, Tanzania itajiweka katika kundi la nchi zinazofanya biashara kubwa na kuonesha kuwa ni taifa lenye nguvu na lenye uwezo mkubwa kiuchumi.
2. Kuwa na noti za thamani kubwa pia kunaweza kuchangia kuimarisha imani kwa wawekezaji na wadau wa kimataifa. Uwezo wa kuwa na noti za Shilingi 50,000 na 100,000 utaashiria kwamba Tanzania ni nchi yenye uchumi imara na inayoweza kushughulikia shughuli kubwa za kifedha. Hii itavutia uwekezaji na kuchochea maendeleo ya kiuchumi katika nchi yetu. Wawekezaji watakuwa na imani zaidi katika mfumo wetu wa fedha na watakuwa tayari kuwekeza katika miradi ya maendeleo na biashara mbalimbali. Hii itasaidia kuongeza fursa za ajira na kuchochea ukuaji wa uchumi wetu.
3. Noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000 pia zitawezesha shughuli za kifedha kuwa rahisi zaidi. Kuwa na noti za thamani kubwa kutawezesha mchakato wa malipo makubwa kwa urahisi na haraka zaidi. Biashara zinazohusisha miamala mikubwa zitaweza kufanya malipo kwa urahisi.
Ni matumaini yangu pendekezo hili litazingatiwa na Serikali ya Tanzania na Benki Kuu ya Tanzania kwa umakini na kufanyiwa tathmini ya kina.
Sema "tunavyofanya(ga)" wapigaji!Si waongeze tu sifuri kwenye elf tano na elfu kumi kama wanavyofanya wapigaji kwenye manunuzi Yao!
Kuchapisha notes, ni indicator ya Ku collapse kwa uchumi wa nchi. Yaan, bei za vitu zimepanda sana na zinapanda kwa haraka within a month, week tunashindwa kubeba pesa nyingi kwenye pochi.Napenda kutoa mapendekezo muhimu kwa Serikali ya Tanzania (GOT) na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kuhusu umuhimu wa kuchapisha noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000. Pendekezo hili lina lengo la kuongeza hadhi ya fedha nchini na kuleta faida za kiuchumi na kifedha kwa taifa letu.