Napendekeza Serikali ya Tanzania ichapishe Noti za Shilingi Elfu (50,000) na Laki moja (100,000)

Kuchapisha notes, ni indicator ya Ku collapse kwa uchumi wa nchi. Yaan, bei za vitu zimepanda sana na zinapanda kwa haraka within a month, week tunashindwa kubeba pesa nyingi kwenye pochi.
Ndugu hivi kweli unaujua uchumi? Kuwa, na notes za, shs 50,000 na 100,000 it's an indicator of a total collapse of the country economy. Hauwez kuweka pesa, kwenye pochi kwenda, sokoni.Pesa ni nyingi sana. Unahitaji kuwa, na notes moja ya shs 100,000.Bado hatujafika huko. Bei ya soda in a kuwa shs 20,0000.Bia in a kuwa 50,000.Then we will need your suggestion.
 
Haya mawazo ya huyu dada ni ya kiswahiliswahili na ni ya watu walikokulia kwenye system hivyo wanatafuta njia ya kufisadi kwa njia ya kuchapisha note mpya.Huyu dada usione anaanzisha hij agenda,,wanajambo laonyuma ya pazia
 
 
Note ya 50,000, 100 000/=, nchi ilichapisha hizo noti ujue uchumi unaenda kudorora, hata hivyo inatakiwa noti ya kubwa iwe sh 1000/=, sh 5, 10, 20, zirudishwe
 
Note ya 50,000, 100 000/=, nchi ilichapisha hizo noti ujue uchumi unaenda kudorora, hata hivyo inatakiwa noti ya kubwa iwe sh 1000/=, sh 5, 10, 20, zirudishwe
Umewahi kunununua kitu cha elfu 50 ukamlipa muuzaji kwa mtandao wa simu au bank. Hiyo transaction ya elfu 50 uliyo ifanya kwa kutoa noti ya elfu 50 kwa njia ya LIPA ili athiri uchumi?

Noti ni storage ya thamani ya pesa tu kama container. Usikute hapo ulipo umehifadhi noti ya elfu 20 kwenye M-Pesa.

Nchi za wenzetu ambazo walisha acha kutumia noti zilizochapichwa watu wanafanya transaction kwa noti za online.
 
Kwanini usingeshauri tupunguze masufuri 2 kutoka kwenye kila noti kama walivyofanya Zambia mwaka 2012 wakati Rais wao ni Michael Sata!!
 
Je ni Kweli kuwa nchi ikiwa na noti za thalami kubwa ni ishara kuwa uchumi wake ni imara?
Is there a correlation between purchasing power a currency and its denomination?
Nikijibiwa hayo maswali nitaunga mkono hoja!
 
Je ni Kweli kuwa nchi ikiwa na noti za thalami kubwa ni ishara kuwa uchumi wake ni imara?
Is there a correlation between purchasing power a currency and its denomination?
Nikijibiwa hayo maswali nitaunga mkono hoja!
Yuan 13 kule China bado unaitumia kupanda tax umbali mrefu sana, hapa Tanzania Tsh 100 inapata pipi moja ya mtoto mdogo.
5sh ya Kenya bado unanunulia andanzi na mkati unakula, hapa Tanzania haipo kabisa.
5US dollar bado ipo, hapa Tanzania 1tsh ipo makumbusho.
Ila bado kuna mtu anadanganya kuwa pesa zikiandikwa kwa figure kubwa inapandisha uchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…