Ingekuwa maoni yangu!
Ningeshauri nafasi ya IGP ateuliwe mama mmoja anaitwa SUZAN!
Huyu mama ukiweka pembeni madhaifu ya kimfumo, anaouwezo mkubwa sana wa kusimamia maswala ya usalama wa raia na Mali zake!
Huyu mama hapendi kabisa kuona magwanda ya jeshi yanatumiwa na watu wenye roho za kijambazi!
Huyu mama hapendi kabisa kuona jambazi mwenye mwavuli wa kipolisi kuendelea kusimamia mammlaka makubwa ya usalama wa raia!
Huyu mama kiutendaje ni rahisi hata kufanya mawasiliano na Rais hata kama ni usiku wa manane na wakaongea kama mashost!
Huyu mama ni msomi mzuri na anauwezo wa mkubwa wa kuendana na kasi ya awamu ya sita!
Ukiachana na njia nyingine ya kimfumo! Njia pekee kwa sasa kurejesha iman kwa watendaji ni kubadilisha IGP!
Nasikitika sana kuona watu wa hovyo hovyo kama wale wa mtwara kuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wakisimamia HAKI ZA WATU!
Kama uongozi mzima umedakwa! Mangapi hayakujulikana kabla?