Napendekeza Suzan Kaganda awe IGP ajaye

Napendekeza Suzan Kaganda awe IGP ajaye

Huyo afai uitakii mema ccm.
Ccm inataka watu kama kina kingai, wa kuidhibiti chadema isivurukute, huyo mama hawezi furumushia mabomu upinzani
 
Ingekuwa maoni yangu!

Ningeshauri nafasi ya IGP ateuliwe mama mmoja anaitwa SUZAN!

Huyu mama ukiweka pembeni madhaifu ya kimfumo, anaouwezo mkubwa sana wa kusimamia maswala ya usalama wa raia na Mali zake!

Huyu mama hapendi kabisa kuona magwanda ya jeshi yanatumiwa na watu wenye roho za kijambazi!

Huyu mama hapendi kabisa kuona jambazi mwenye mwavuli wa kipolisi kuendelea kusimamia mammlaka makubwa ya usalama wa raia!

Huyu mama kiutendaje ni rahisi hata kufanya mawasiliano na Rais hata kama ni usiku wa manane na wakaongea kama mashost!

Huyu mama ni msomi mzuri na anauwezo wa mkubwa wa kuendana na kasi ya awamu ya sita!

Ukiachana na njia nyingine ya kimfumo! Njia pekee kwa sasa kurejesha iman kwa watendaji ni kubadilisha IGP!

Nasikitika sana kuona watu wa hovyo hovyo kama wale wa mtwara kuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wakisimamia HAKI ZA WATU!

Kama uongozi mzima umedakwa! Mangapi hayakujulikana kabla?
Yule nae anapenda vijana mmmh haya.
 
Msidanganyike na Ile speech iliyosambaa aliongea vile. Askari wote wanaambiwa haya maneno kila siku na viongozi wao ambao nao utadhani wakiwa wanaongea hayo maneno wanakuwa wameshukiwa na roho Mtakatifu.

So unaona yule mkuu wa trafiki nae anazunguka kubaini askari Wala rushwa unaweza kudhani yeye sio mla rushwa but believe me hawa wakubwa huwa wanajitoa akili tu tena rushwa zao sio hizo buku mbilimbili anazokusanya askari akiwa barabarani.

Jiulize kwa nini ishu nzito kama vile kufungiwa kampuni za mabasi ambazo zinafanya biashara kinyume na maagizo na taratibu za kisheria huwa hawafungiwi ?? Unakuta askari wanafungia kampuni ila tajiri anaenda kuongea na boss kubwa anampa kitita cha mamilioni boss anaiachia kampuni.

Kwanza ukiona boss ameingia mwenyewe kwenye ukaguzi na akakamata magari kadhaa hao anakuwa anataka wamfate ofisini ili wamalizane kwa rushwa ndefu Ila yeye anaita waandishi anaonyesha amekamata mabasi kadhaa kumbe anawatafuta matajiri wake ofisini kwake anajua wataenda tu akawakamue.

Hakuna polisi muadilifu nakuambia especially hawa polisi wa CCM ambao wanajua wanawalinda wala rushwa hivyo nao wanakula humohumo wakijua hakuna wa kumfunga paka kengele.

We unakamata magendo ya mkuu unaambiwa achia huo mzigo we endelea na kazi unatarajia hiyo nguvu ya kukataa rushwa polisi anaitoa wapi?
 
Napendekeza ateuliwe, mwadilifu mpenda haki

IGP Sirro ni muongo , hivyo hafai kuendelea na wadhifa huo!! Alidanganya kuhusu kutoonekana kwa yule askari [ KISANDUKU] aliyetishia raia kwa bastola kwamba jeshi halikujua aliko!!!! Huko kulikuwa ni kukili hadharani Kuwa Jeshi la polisi halina uwezo wa kuwalinda raia!!!
 
Utashi UPI ambao hana Suzan! Labda kuiba na kubambika watu makosa ndo hana!
Lakini displine ya kijeshi anayo! Uongozi bora kashatunukiwa vyeti lukuki huyu mama!
Suzan Kaganda kwa lugha kijeshi tunasema anatosha. Lakini haijawahi na wala haitatokea Commander akapewa wadhifa kwa maoni ya watu mitandaoni.
 
Msidanganyike na Ile speech iliyosambaa aliongea vile. Askari wote wanaambiwa haya maneno kila siku na viongozi wao ambao nao utadhani wakiwa wanaongea hayo maneno wanakuwa wameshukiwa na roho Mtakatifu.

So unaona yule mkuu wa trafiki nae anazunguka kubaini askari Wala rushwa unaweza kudhani yeye sio mla rushwa but believe me hawa wakubwa huwa wanajitoa akili tu tena rushwa zao sio hizo buku mbilimbili anazokusanya askari akiwa barabarani.

Jiulize kwa nini ishu nzito kama vile kufungiwa kampuni za mabasi ambazo zinafanya biashara kinyume na maagizo na taratibu za kisheria huwa hawafungiwi ?? Unakuta askari wanafungia kampuni ila tajiri anaenda kuongea na boss kubwa anampa kitita cha mamilioni boss anaiachia kampuni.

Kwanza ukiona boss ameingia mwenyewe kwenye ukaguzi na akakamata magari kadhaa hao anakuwa anataka wamfate ofisini ili wamalizane kwa rushwa ndefu Ila yeye anaita waandishi anaonyesha amekamata mabasi kadhaa kumbe anawatafuta matajiri wake ofisini kwake anajua wataenda tu akawakamue.

Hakuna polisi muadilifu nakuambia especially hawa polisi wa CCM ambao wanajua wanawalinda wala rushwa hivyo nao wanakula humohumo wakijua hakuna wa kumfunga paka kengele.

We unakamata magendo ya mkuu unaambiwa achia huo mzigo we endelea na kazi unatarajia hiyo nguvu ya kukataa rushwa polisi anaitoa wapi?
Siyo wote bhana wapo waadirifu pia wengi tu! Lakini haina maana wala rushwa hawapo!
 
Nimeishi nao braza. Ukinionyesha polisi muadilifu na sio mla rushwa yani anategemea biashara zake au mshahara au dili zake basi nitamruhusu mwanangu ajiunge na polisi maana ananisumbua sana na nishamuambia sitaki akomae tumpeleke jeshini
 
Mnataka Suzan ateuliwe kuwa IGP muanze kumsema Mama kuwa anapendelea Jinsia yake sijui nchi ya Kifalme maana mama yake Suzan ni Jaji mstaafu
 
Niambie kashfa ya #Suzan kaganda
 
Mnataka Suzan ateuliwe kuwa IGP muanze kumsema Mama kuwa anapendelea Jinsia yake sijui nchi ya Kifalme maana mama yake Suzan ni Jaji mstaafu
Sioni tatizo kama uadirifu upo
 
Kuna jamaa aliniambia hii nchi aliyekuwa anatakiwa kuiongoza kwa muda pamoja na madhaifu yake ni Magufuli, 'No kucheka cheka na pimbi' ila ndiyo hivyo mikono yao ilikatwa na wenyewe wakaona wakate kichwa.

Tusilalamike wala kuwataja flani na flani ndiyo wanafaa iingali hata akija mkuu wa majeshi kutoka korea kaskazini apewe hii nafasi, lazima amsikilize na kumtii aliyemuita kumpa nafasi.

Yanayotokea huko afrika magharibi na kaskazini ni lutokana na tabia kama hizi zinazoendelea hapa kwenu.
 
Itakuwa umbea sasa wacha tuyaache tu naenda kusaka supu. Kama atateuliwa hayaa, asipoteuliwa hayaaa, polisi baba yao mmoja tu.
Hata kama! Lakini uadirifu na sifa za mmoja mmoja inasaidia sana
 
Ingekuwa maoni yangu!

Ningeshauri nafasi ya IGP ateuliwe mama mmoja anaitwa SUZAN!

Huyu mama ukiweka pembeni madhaifu ya kimfumo, anaouwezo mkubwa sana wa kusimamia maswala ya usalama wa raia na Mali zake!

Huyu mama hapendi kabisa kuona magwanda ya jeshi yanatumiwa na watu wenye roho za kijambazi!

Huyu mama hapendi kabisa kuona jambazi mwenye mwavuli wa kipolisi kuendelea kusimamia mammlaka makubwa ya usalama wa raia!

Huyu mama kiutendaje ni rahisi hata kufanya mawasiliano na Rais hata kama ni usiku wa manane na wakaongea kama mashost!

Huyu mama ni msomi mzuri na anauwezo wa mkubwa wa kuendana na kasi ya awamu ya sita!

Ukiachana na njia nyingine ya kimfumo! Njia pekee kwa sasa kurejesha iman kwa watendaji ni kubadilisha IGP!

Nasikitika sana kuona watu wa hovyo hovyo kama wale wa mtwara kuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wakisimamia HAKI ZA WATU!

Kama uongozi mzima umedakwa! Mangapi hayakujulikana kabla?
Tatizo la polisi linatokana kwa kiasi kikubwa na wanasiasa.
Kiongizi anasema kuleni hela ya kiwi.
Kiongozi anasema wanyang'anye majamnazi silaha, si bunduki mnazo?
Kiongozi anawatumia polisi kubambika kesi
Kiongozi anazuia uchunguzi wa matukio, kama mauaji ya Lwajabe, kupigwa risasi Lissu.

Sasa askari polisi wakiona hivyo na wao wanajiongeza.
 
Hamna kitu pale.

Kwanza vyeo vimekimbia sababu mama yake alikuwa ikulu, kana elimu ya darasani lakini utashi wa kijeshi ni 0.
Mpaka Leo Ni jaji wa mahakama ya rufaa...

Mdogo wake kapewa ubalozi...

Atapata... ..baba mlezi Ana power..pia!
 
Back
Top Bottom