Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo afai uitakii mema ccm.
Ccm inataka watu kama kina kingai, wa kuidhibiti chadema isivurukute, huyo mama hawezi furumushia mabomu upinzani
Yuko vizuriSuzan Kaganda nampenda sana huyu mama.
I love you WP
Yule nae anapenda vijana mmmh haya.Ingekuwa maoni yangu!
Ningeshauri nafasi ya IGP ateuliwe mama mmoja anaitwa SUZAN!
Huyu mama ukiweka pembeni madhaifu ya kimfumo, anaouwezo mkubwa sana wa kusimamia maswala ya usalama wa raia na Mali zake!
Huyu mama hapendi kabisa kuona magwanda ya jeshi yanatumiwa na watu wenye roho za kijambazi!
Huyu mama hapendi kabisa kuona jambazi mwenye mwavuli wa kipolisi kuendelea kusimamia mammlaka makubwa ya usalama wa raia!
Huyu mama kiutendaje ni rahisi hata kufanya mawasiliano na Rais hata kama ni usiku wa manane na wakaongea kama mashost!
Huyu mama ni msomi mzuri na anauwezo wa mkubwa wa kuendana na kasi ya awamu ya sita!
Ukiachana na njia nyingine ya kimfumo! Njia pekee kwa sasa kurejesha iman kwa watendaji ni kubadilisha IGP!
Nasikitika sana kuona watu wa hovyo hovyo kama wale wa mtwara kuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wakisimamia HAKI ZA WATU!
Kama uongozi mzima umedakwa! Mangapi hayakujulikana kabla?
Napendekeza ateuliwe, mwadilifu mpenda haki
Suzan Kaganda kwa lugha kijeshi tunasema anatosha. Lakini haijawahi na wala haitatokea Commander akapewa wadhifa kwa maoni ya watu mitandaoni.Utashi UPI ambao hana Suzan! Labda kuiba na kubambika watu makosa ndo hana!
Lakini displine ya kijeshi anayo! Uongozi bora kashatunukiwa vyeti lukuki huyu mama!
Siyo wote bhana wapo waadirifu pia wengi tu! Lakini haina maana wala rushwa hawapo!Msidanganyike na Ile speech iliyosambaa aliongea vile. Askari wote wanaambiwa haya maneno kila siku na viongozi wao ambao nao utadhani wakiwa wanaongea hayo maneno wanakuwa wameshukiwa na roho Mtakatifu.
So unaona yule mkuu wa trafiki nae anazunguka kubaini askari Wala rushwa unaweza kudhani yeye sio mla rushwa but believe me hawa wakubwa huwa wanajitoa akili tu tena rushwa zao sio hizo buku mbilimbili anazokusanya askari akiwa barabarani.
Jiulize kwa nini ishu nzito kama vile kufungiwa kampuni za mabasi ambazo zinafanya biashara kinyume na maagizo na taratibu za kisheria huwa hawafungiwi ?? Unakuta askari wanafungia kampuni ila tajiri anaenda kuongea na boss kubwa anampa kitita cha mamilioni boss anaiachia kampuni.
Kwanza ukiona boss ameingia mwenyewe kwenye ukaguzi na akakamata magari kadhaa hao anakuwa anataka wamfate ofisini ili wamalizane kwa rushwa ndefu Ila yeye anaita waandishi anaonyesha amekamata mabasi kadhaa kumbe anawatafuta matajiri wake ofisini kwake anajua wataenda tu akawakamue.
Hakuna polisi muadilifu nakuambia especially hawa polisi wa CCM ambao wanajua wanawalinda wala rushwa hivyo nao wanakula humohumo wakijua hakuna wa kumfunga paka kengele.
We unakamata magendo ya mkuu unaambiwa achia huo mzigo we endelea na kazi unatarajia hiyo nguvu ya kukataa rushwa polisi anaitoa wapi?
Nimeishi nao braza. Ukinionyesha polisi muadilifu na sio mla rushwa yani anategemea biashara zake au mshahara au dili zake basi nitamruhusu mwanangu ajiunge na polisi maana ananisumbua sana na nishamuambia sitaki akomae tumpeleke jeshiniSiyo wote bhana wapo waadirifu pia wengi tu! Lakini haina maana wala rushwa hawapo!
Napendekeza ateuliwe, mwadilifu mpenda haki
Niambie kashfa ya #Suzan kagandaNimeishi nao braza. Ukinionyesha polisi muadilifu na sio mla rushwa yani anategemea biashara zake au mshahara au dili zake basi nitamruhusu mwanangu ajiunge na polisi maana ananisumbua sana na nishamuambia sitaki akomae tumpeleke jeshini
Sioni tatizo kama uadirifu upoMnataka Suzan ateuliwe kuwa IGP muanze kumsema Mama kuwa anapendelea Jinsia yake sijui nchi ya Kifalme maana mama yake Suzan ni Jaji mstaafu
Itakuwa umbea sasa wacha tuyaache tu naenda kusaka supu. Kama atateuliwa hayaa, asipoteuliwa hayaaa, polisi baba yao mmoja tu.Niambie kashfa ya #Suzan kaganda
Hata kama! Lakini uadirifu na sifa za mmoja mmoja inasaidia sanaItakuwa umbea sasa wacha tuyaache tu naenda kusaka supu. Kama atateuliwa hayaa, asipoteuliwa hayaaa, polisi baba yao mmoja tu.
Tatizo la polisi linatokana kwa kiasi kikubwa na wanasiasa.Ingekuwa maoni yangu!
Ningeshauri nafasi ya IGP ateuliwe mama mmoja anaitwa SUZAN!
Huyu mama ukiweka pembeni madhaifu ya kimfumo, anaouwezo mkubwa sana wa kusimamia maswala ya usalama wa raia na Mali zake!
Huyu mama hapendi kabisa kuona magwanda ya jeshi yanatumiwa na watu wenye roho za kijambazi!
Huyu mama hapendi kabisa kuona jambazi mwenye mwavuli wa kipolisi kuendelea kusimamia mammlaka makubwa ya usalama wa raia!
Huyu mama kiutendaje ni rahisi hata kufanya mawasiliano na Rais hata kama ni usiku wa manane na wakaongea kama mashost!
Huyu mama ni msomi mzuri na anauwezo wa mkubwa wa kuendana na kasi ya awamu ya sita!
Ukiachana na njia nyingine ya kimfumo! Njia pekee kwa sasa kurejesha iman kwa watendaji ni kubadilisha IGP!
Nasikitika sana kuona watu wa hovyo hovyo kama wale wa mtwara kuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wakisimamia HAKI ZA WATU!
Kama uongozi mzima umedakwa! Mangapi hayakujulikana kabla?
Mpaka Leo Ni jaji wa mahakama ya rufaa...Hamna kitu pale.
Kwanza vyeo vimekimbia sababu mama yake alikuwa ikulu, kana elimu ya darasani lakini utashi wa kijeshi ni 0.