Napendekeza Suzan Kaganda awe IGP ajaye

Napendekeza Suzan Kaganda awe IGP ajaye

Ingekuwa maoni yangu!

Ningeshauri nafasi ya IGP ateuliwe mama mmoja anaitwa SUZAN!

Huyu mama ukiweka pembeni madhaifu ya kimfumo, anaouwezo mkubwa sana wa kusimamia maswala ya usalama wa raia na Mali zake!

Huyu mama hapendi kabisa kuona magwanda ya jeshi yanatumiwa na watu wenye roho za kijambazi!

Huyu mama hapendi kabisa kuona jambazi mwenye mwavuli wa kipolisi kuendelea kusimamia mammlaka makubwa ya usalama wa raia!

Huyu mama kiutendaje ni rahisi hata kufanya mawasiliano na Rais hata kama ni usiku wa manane na wakaongea kama mashost!

Huyu mama ni msomi mzuri na anauwezo wa mkubwa wa kuendana na kasi ya awamu ya sita!

Ukiachana na njia nyingine ya kimfumo! Njia pekee kwa sasa kurejesha iman kwa watendaji ni kubadilisha IGP!

Nasikitika sana kuona watu wa hovyo hovyo kama wale wa mtwara kuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wakisimamia HAKI ZA WATU!

Kama uongozi mzima umedakwa! Mangapi hayakujulikana kabla?
Weka picha yake, wengine hatumjui
 
Mim naomba Magereza wakafanye kazi za kipolisi na polisi wakafanye kazi za Magereza, hapo naamin mambo yatakuwa mswano maana Magereza kule hamna rushwa
 
Na CDF NA MAGEREZA NA HATA WAZIRI WA KIBUBU NAYE AWE MMAMA
 
Ingekuwa maoni yangu!

Ningeshauri nafasi ya IGP ateuliwe mama mmoja anaitwa SUZAN!

Huyu mama ukiweka pembeni madhaifu ya kimfumo, anaouwezo mkubwa sana wa kusimamia maswala ya usalama wa raia na Mali zake!

Huyu mama hapendi kabisa kuona magwanda ya jeshi yanatumiwa na watu wenye roho za kijambazi!

Huyu mama hapendi kabisa kuona jambazi mwenye mwavuli wa kipolisi kuendelea kusimamia mammlaka makubwa ya usalama wa raia!

Huyu mama kiutendaje ni rahisi hata kufanya mawasiliano na Rais hata kama ni usiku wa manane na wakaongea kama mashost!

Huyu mama ni msomi mzuri na anauwezo wa mkubwa wa kuendana na kasi ya awamu ya sita!

Ukiachana na njia nyingine ya kimfumo! Njia pekee kwa sasa kurejesha iman kwa watendaji ni kubadilisha IGP!

Nasikitika sana kuona watu wa hovyo hovyo kama wale wa mtwara kuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wakisimamia HAKI ZA WATU!

Kama uongozi mzima umedakwa! Mangapi hayakujulikana kabla? Tu , ikiwezekana na CDF pia
Kama anafaa apewe tu, ikiwezekana na CDF awe mwanamke .
Jaji Munisi ni mama nanayefaa kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania. Maza asisahau pia anafaa.
 
Ingekuwa maoni yangu!

Ningeshauri nafasi ya IGP ateuliwe mama mmoja anaitwa SUZAN!

Huyu mama ukiweka pembeni madhaifu ya kimfumo, anaouwezo mkubwa sana wa kusimamia maswala ya usalama wa raia na Mali zake!

Huyu mama hapendi kabisa kuona magwanda ya jeshi yanatumiwa na watu wenye roho za kijambazi!

Huyu mama hapendi kabisa kuona jambazi mwenye mwavuli wa kipolisi kuendelea kusimamia mammlaka makubwa ya usalama wa raia!

Huyu mama kiutendaje ni rahisi hata kufanya mawasiliano na Rais hata kama ni usiku wa manane na wakaongea kama mashost!

Huyu mama ni msomi mzuri na anauwezo wa mkubwa wa kuendana na kasi ya awamu ya sita!

Ukiachana na njia nyingine ya kimfumo! Njia pekee kwa sasa kurejesha iman kwa watendaji ni kubadilisha IGP!

Nasikitika sana kuona watu wa hovyo hovyo kama wale wa mtwara kuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wakisimamia HAKI ZA WATU!

Kama uongozi mzima umedakwa! Mangapi hayakujulikana kabla?
Mshaharibu
 
Ashalambwaa kichwaaa...yani unateuliwa ubalozi ambao huambiwi ni wapii daah huyu mama kutumbuliwa ni moja ya ishara mbaya kwenye kusimamia haki.
 
Huyo mama ni kiongozi bora sana sema basi tu walimwengu wana mawenge
 
Back
Top Bottom