Napendekeza taa za mwanga barabarani na nyaya za simu zifungwe kwenye nguzo za umeme

Naona ushauri umeanza kufanyiwa kazi kwenye baadhi ya mitaa jijini Dar es salaam
 
Nguzo za Taa nesi siko zinaanguka kila siku, mtamudu kutembea giza huko barabarani? na hizo waya za simu ni zipi maana waya za simu ziliachwa zamani kabisa siku hizi ni wayaless kwenda mbele
 
Nguzo za Taa nesi siko zinaanguka kila siku, mtamudu kutembea giza huko barabarani? na hizo waya za simu ni zipi maana waya za simu ziliachwa zamani kabisa siku hizi ni wayaless kwenda mbele
Kwamba zisipofungwa hizi taa ndio zitaacha kuanguka?
 
Update: 08/09/2021

Hatimaye, Nyaya za mawasialiano ya simu za mkongo (Fiber network) kufungwa kwenye nguzo za umeme

TTCL na Tanesco wameshatia saini mkataba wa kupitisha nyayabza simu kwenye nguzo za umeme
Teh teh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!

Sasa hao wabishi na wajuaji waliokukejeri na kukung'ong'a mbona leo hawajitokezi angalau kiungwana 'kuunga mkono hoja', au bado tu wamechutama na kuendelea kuficha aibu zao?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, mi ndio maana siku zote napenda mtu ajadili kwa hoja, ukijadili kwa vijembe haujengi bali unaharibu mjadala. Biguo kwa Tanesco na TTCL, maana wataboresha mno mawasiliano kwa gharama ndogo sana ukikinganisha kama wangelazimika kuchimba mitaro mipya au kusimika nguzo upya nchi mzima.. πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Tanesco na TTCL wametiliana saini jana mradi wa kupitisha nyaya za mawasiliano kwenye nguzo za umeme πŸ˜‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…