FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #61
Tetesi: - TTCL Kusambaza Internet Bure Majumbani na Maofisini. Bili ni kwa Mwezi
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi The DON, kwa nini nchi hii ubunifu ni ZIRO,Juhudi ziongezwe kusambaza nyaya za simu majumbani
Hivi uliweza vipi kujibishana na mpuuzi kama huyu,Sikuuliza bali nimekujulisha tu kwamba, umbali wa taa za barabarani na umbali wa nguzo za umeme ni sawa, na endapo kunatofauti kidogo, basi inafidiwa kwa kuadjust ukubwa na power ya taa husika (Size and watts).
Hahahhah, humu kuna watu wapo kazi yao ni kuvuruga tu mijadala, sasa namna pekee ya kuwadhibiti ni kuwapa hoja na kuwajibu kwa hoja, hiyo huwa inawamaliza kabisa.Hivi uliweza vipi kujibishana na mpuuzi kama huyu,
Huyu ndio ujue wapo huko maofisini,
Hawana uwezo wa kuangalia vitu vipya na ku vi implement.
Angekuwa ni mzungu kafanya hivyo , au katoa wazo, ingekuwa ni vigeregere,
Umemwinyesha hata picha, lakini haelewi