Napendekeza taifa litumie bendera kama taswira yake badala ya rais tena wengine mafisadi na machawa

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
Ni mara nyingi nasikia watu wakisema eti rais ni alama na taswira ya nchi. Hii si haki wala sawa.

Kwanini tusitumie bendera au nembo yetu wengine wachafu kiroho na kimwil

Je wewe unaonaje na kusemaje?

Nafikiri kimya kimya.
 
Mambo haya yalianzia kipindi cha mwalimu Nyerere, si unajua jamaa alikuwa ni dictator uchwara, na alikiri hadharani Kuwa yy ni dictator.

Kwa kuwa ss wa TZ tumeelimika inatupasa tubadilishe katiba iweze kuwasulubu viongozi washenzi
 
Ni mara nyingi nasikia watu wakisema eti rais ni alama na taswira ya nchi. Hii si haki wala sawa.

Kwanini tusitumie bendera au nembo yetu wengine wachafu kiroho na kimwil

Je wewe unaonaje na kusemaje?

Nafikiri kimya kimya.
Naunga mkono hoja. Tena wakati wa kuapishwa wasitumie vitabu vya dini kama Quran na Bible kwa sababu Serikali yetu haina dini.... Badala yake mtu aape kwa kushika bendera mbele ya nembo ya taifa huku viongozi wengine wa mihimili wakishuhudia kwa pembeni
 
Ni mara nyingi nasikia watu wakisema eti rais ni alama na taswira ya nchi. Hii si haki wala sawa.

Kwanini tusitumie bendera au nembo yetu wengine wachafu kiroho na kimwil

Je wewe unaonaje na kusemaje?

Nafikiri kimya kimya.
Hata nyimbo ya taifa pia mimi siku hizi nimeacha kuiimba kabisa hata kwenye masherehe ya kitaifa yaani unaimba "Mungu wabariki viongozi wetu" viongozi wenyewe ndio hawa.... no way..!
 
Viongozi wezi heti tumombee viongozi wetu ujinga mtupu
 
Back
Top Bottom