The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Naunga mkono hoja. Tena wakati wa kuapishwa wasitumie vitabu vya dini kama Quran na Bible kwa sababu Serikali yetu haina dini.... Badala yake mtu aape kwa kushika bendera mbele ya nembo ya taifa huku viongozi wengine wa mihimili wakishuhudia kwa pembeniNi mara nyingi nasikia watu wakisema eti rais ni alama na taswira ya nchi. Hii si haki wala sawa.
Kwanini tusitumie bendera au nembo yetu wengine wachafu kiroho na kimwil
Je wewe unaonaje na kusemaje?
Nafikiri kimya kimya.
Hata nyimbo ya taifa pia mimi siku hizi nimeacha kuiimba kabisa hata kwenye masherehe ya kitaifa yaani unaimba "Mungu wabariki viongozi wetu" viongozi wenyewe ndio hawa.... no way..!Ni mara nyingi nasikia watu wakisema eti rais ni alama na taswira ya nchi. Hii si haki wala sawa.
Kwanini tusitumie bendera au nembo yetu wengine wachafu kiroho na kimwil
Je wewe unaonaje na kusemaje?
Nafikiri kimya kimya.
Siimbagi kabisa hii nyimbo tulijichanganya hapaHata nyimbo ya taifa pia mimi sijuhizi nimeacha kuiimbabkajisa hata kwenye masherehe ya kitaifa yaani unaimba "Mungu wabariki viongozi wetu" viongozi wenyewe ndio hawa no way..!
Viongozi wezi heti tumombee viongozi wetu ujinga mtupuHata nyimbo ya taifa pia mimi siku hizi nimeacha kuiimba kabisa hata kwenye masherehe ya kitaifa yaani unaimba "Mungu wabariki viongozi wetu" viongozi wenyewe ndio hawa.... no way..!