The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Sidhani kama kuna traffick atabaki road, itakuwa mtafarukuNina pendekeza kama kweli Takukuru wako pale kumdhibiti na kupambana na rushwa basi wajifanye kama kondakta wa daladala hasa za hapa dar ili wakamate traffic hawa jamaa wanakula rushwa hadi kichefuchefu.
Kama hilo haliwezekani basi nashauri hiki kitengo aidha kifutwe au kibadilishiwe majukumu. Maana inafikirisha sana kwamba kila raia anaona jinsi rushwa inavyoliwa kwa wazi kabisa na hawa askari wa usalama barabarani lkn Takukuru hawaioni.
Au hadi wapewe agizo na kutumwa!? Kwani Sheria haiwaruhusu kujifanyia kazi kwa namna yao hadi waagizwe na mamlaka zingine?
Bahati mbaya dunia haifanyi kazi kwa mfumo huoHii itakuwa dawa!
Matrafiki ki ukweli, jamaa wale iwapo wamejenga, basi tofari zote za majumba yao ni pesa ya haramu tupu!
Sitashangaa ukisikia mtu kadondokewa ukuta wake maana hakuna haki hata moja iliyotumika katika kujenga kwake
KabisaBuku ni rushwa ama hela ya maji waoneeni huruma kukaa kwenye jua sio mchezo
Takukuru wenyewe ni wala rushwa tena ile mbaya kwani we unafikiri hawajui sehemu zinazo toa rushwa? rushwa ya trafiki ina pangwa na boss wao, ukiwagusa na wewe utaguswa tu.Nina pendekeza kama kweli Takukuru wako pale kumdhibiti na kupambana na rushwa basi wajifanye kama kondakta wa daladala hasa za hapa dar ili wakamate traffic hawa jamaa wanakula rushwa hadi kichefuchefu.
Kama hilo haliwezekani basi nashauri hiki kitengo aidha kifutwe au kibadilishiwe majukumu. Maana inafikirisha sana kwamba kila raia anaona jinsi rushwa inavyoliwa kwa wazi kabisa na hawa askari wa usalama barabarani lkn Takukuru hawaioni.
Au hadi wapewe agizo na kutumwa!? Kwani Sheria haiwaruhusu kujifanyia kazi kwa namna yao hadi waagizwe na mamlaka zingine?
Na wewe ni traffic? Kwani kwenye kiapo chako uliapa utakula rushwa!?Hizo buku buku ndo zinakutoa kamasi? Hizo ni kama TIPS tu, tunashughulikia mambo makubwa.
Kwani rushwa ni nini!? Unajua madhara ya rushwa kwa traffic si ndo hapo kuacha migari mibovu madereva wasio na sifa barabarani kisa rushwa ya book si heri ingekuwa kubwaBuku ni rushwa ama hela ya maji waoneeni huruma kukaa kwenye jua sio mchezo
Rushwa ni rushwa tu hata kama ingekua ni mia.Buku ni rushwa ama hela ya maji waoneeni huruma kukaa kwenye jua sio mchezo