mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Nishafanyaga hii biashara route ya mwananyamala -posta wakati ulee....Wala hahitaji mshahara
Ila ukiangalia malori tairi zimeisha kabisa na zikiuwa wanakuambia break zimefeli kumbe kaachiwa kwa buku
Pasua sana kia siku mnavutana na traffic kwenda polisi gari ilikuwa kama sebuleni
Pressure pressure tu nkaona shida ya nini
Ova