Napendekeza: TAKUKURU wajifanye kama kondakta wa daladala ili wadake traffic wala rushwa

Napendekeza: TAKUKURU wajifanye kama kondakta wa daladala ili wadake traffic wala rushwa

Wala hahitaji mshahara
Ila ukiangalia malori tairi zimeisha kabisa na zikiuwa wanakuambia break zimefeli kumbe kaachiwa kwa buku
Nishafanyaga hii biashara route ya mwananyamala -posta wakati ulee....
Pasua sana kia siku mnavutana na traffic kwenda polisi gari ilikuwa kama sebuleni
Pressure pressure tu nkaona shida ya nini

Ova
 
Nishafanyaga hii biashara route ya mwananyamala -posta wakati ulee....
Pasua sana kia siku mnavutana na traffic kwenda polisi gari ilikuwa kama sebuleni
Pressure pressure tu nkaona shida ya nini

Ova
Halafu hawana aibu kabisa
Pole aisee
 
Njia pekee ni kuweka kamera na speed radar
 
Ila ukweli hao matrafic wanatumwa na wakubwa zao
Usipop3leka hela wanakutoa Road
Unaweza pewa kitengo kwenda kulinda benki 😄

Ova
Kwa hiyo hata akiambiwa leta mke anapeleka kisa aendelee kuwa barabarani au sio 😄 🤣
 
Kwa hiyo hata akiambiwa leta mke anapeleka kisa aendelee kuwa barabarani au sio 😄 🤣
😄
Unajuwa,ukitaka kudeal na rushwa Anna juu huku chini
Watakaa sawa wenyewe
Sasa wa juu wanakula hawa wa chini si nao wataiga
Nmependa sana nchi za wenzetu
Ukienda unakutana na vitu tofauti
Huku kitu haki yako lakini mtu anataka ukitoleee hela

Ova
 
Nina pendekeza kama kweli TAKUKURU wako pale kumdhibiti na kupambana na rushwa basi wajifanye kama Kondakta wa daladala hasa za hapa Dar Es Salaam ili wakamate Traffic ambao wanaomba rushwa.

Kama hilo haliwezekani basi nashauri hiki kitengo aidha kifutwe au kibadilishiwe majukumu. Maana inafikirisha sana kwamba kila Raia anaona jinsi rushwa inavyoliwa kwa wazi kabisa na hawa askari wa usalama barabarani lakini TAKUKURU hawaioni.

Au hadi wapewe agizo na kutumwa!? Kwani Sheria haiwaruhusu kujifanyia kazi kwa namna yao hadi waagizwe na mamlaka zingine?

Soma Pia: Je, nini kifanyike ili kuongeza Ushiriki wa Wananchi katika Mapambano dhidi ya Rushwa?
Vijirushwa vya kijinga vya buku mbili ndiyo TAKUKURU wakomae nazo?Waanze na mikataba ya kipuuzi inayoumiza nchi.Kila mtu ahakikishe amebrashi viatu vyake hata kama ni vya plastiki.
 
😄
Unajuwa,ukitaka kudeal na rushwa Anna juu huku chini
Watakaa sawa wenyewe
Sasa wa juu wanakula hawa wa chini si nao wataiga
Nmependa sana nchi za wenzetu
Ukienda unakutana na vitu tofauti
Huku kitu haki yako lakini mtu anataka ukitoleee hela

Ova
Huku majuu kwanza kusimamishwa tu ni mpaka uwe labda taa haziwaki na hilo unaambiwa tu
Nina mwaka wa 34 sasa hapa nimesimamishwa mara moja tu mwaka 92
Na kila leo niko barabarani
Huku gari mbovu huwezi kuendesha na kila mwaka lazima ipite garage kukafuliwa na unapewa certificate bila hiyo ukaegeshe tu home
 
Ukizingatia siku hizi kuna peni na miwani inarekodi kila kitu watapata tabu sana.
 
Unaambiwa zile rushwa za road, traffic office hugawana na wakubwa takukuru.....
 
Nishafanyaga hii biashara route ya mwananyamala -posta wakati ulee....
Pasua sana kia siku mnavutana na traffic kwenda polisi gari ilikuwa kama sebuleni
Pressure pressure tu nkaona shida ya nini

Ova
Wanaudhi sana mwisho wanaacha kusimamia makosa wanakubana tu ilimradi utoe hela kama huwapi watakusumbua mpaka ukome
 
unafikiri hawajui mbinu..? wanajua mbinu nyingi sana ila kuna hichi kitu hutakiwi kuwabana watu kwa asilimia mia! sikuzote,vitu hutakiwa kuwa na balance kokote utakapombana mtu kwa asilimia mia lazima atatafuta pakupumulia!, na akitafuta jua kuna namna tu nawe litakukuta jambo!.

angalia hata ktk historia mbalimbali ukiegemea sana wema ama ubaya lazima kuna watu utawaumiza ktk namna moja ama nyengine!.. ni ngumu hata wewe mwenyewe kuishi in a perfect way for 💯..
wema na ubaya kwenye jamii unatakiwa uwe 70 kwa 30!!. kwasababu vyote vinaweza kukusaidia hata kama hautegemei au hautaki sasa ni uamuzi wenu kuchagua kipi kiwe 70 na kipi kiwe 30.
 
Nina pendekeza kama kweli TAKUKURU wako pale kumdhibiti na kupambana na rushwa basi wajifanye kama Kondakta wa daladala hasa za hapa Dar Es Salaam ili wakamate Traffic ambao wanaomba rushwa.

Kama hilo haliwezekani basi nashauri hiki kitengo aidha kifutwe au kibadilishiwe majukumu. Maana inafikirisha sana kwamba kila Raia anaona jinsi rushwa inavyoliwa kwa wazi kabisa na hawa askari wa usalama barabarani lakini TAKUKURU hawaioni.

Au hadi wapewe agizo na kutumwa!? Kwani Sheria haiwaruhusu kujifanyia kazi kwa namna yao hadi waagizwe na mamlaka zingine?

Soma Pia: Je, nini kifanyike ili kuongeza Ushiriki wa Wananchi katika Mapambano dhidi ya Rushwa?
Na wao ni wala rushwa sana
 
Back
Top Bottom