Napendekeza: TAKUKURU wajifanye kama kondakta wa daladala ili wadake traffic wala rushwa

Hakuna traffic atae baki salama....hali ya kuwa hao trafic wanahitajika
 
Hakuna traffic atae baki salama....hali ya kuwa hao trafic wanahitajika
Nadhani kama tukifikia hatua ya kuwakosa kabisa itakuwa poa sana yaani tutatengeneza kizazi cha zero corruption to traffic officers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…