MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Kweli mkuu. Zamani nikiwa kwenye miaka chini ya 25 nilikuwa natembea kutoka Ilboru hadi Mbauda ambao ni umbali zaidi ya 5km kwa mguu halafu bado niko fit. Zilikuwa nyakati bora sana kiafya. Huku ukubwani hali sio haliJogging inaendana na shibe kwakweli. Wasiokua na uhakika wa kula hilo timbwili lake ni jogging tosha
Ilboru mpka mianzini tu kwa sasa boda lazima ihusikeKweli mkuu. Zamani nikiwa kwenye miaka chini ya 25 nilikuwa natembea kutoka Ilboru hadi Mbauda ambao ni umbali zaidi ya 5km kwa mguu halafu bado niko fit. Zilikuwa nyakati bora sana kiafya. Huku ukubwani hali sio hali
[emoji23][emoji23][emoji23]nilitaka niseme Hilo wali uhakika wa kula matunda usku Kisha wakalal Wai inwafahJogging inaendana na shibe kwakweli. Wasiokua na uhakika wa kula hilo timbwili lake ni jogging tosha
Njoo nikuchanganye na mapenzi upungue mrembo.Aisee bora! Sababu haiwezekani na miaka yangu hii 23 niwe na 79kg[emoji3064]
Wee unakulaa vibaya tafuta Jambo la kukupa street gari bovu au bajaji mbovuAisee bora! Sababu haiwezekani na miaka yangu hii 23 niwe na 79kg[emoji3064]
Jogging ndo hii imeanza nikiwa committed nitapunguaNjoo nikuchanganye na mapenzi upungue mrembo.
Nitajitahidi mkuuWee unakulaa vibaya tafuta Jambo la kukupa street gari bovu au bajaji mbovu
Kama hutumii soda umemuelewa dk. Janabi. HongeraMimi naenda Km 8 hadi 10 Kila siku jioni naenda kukimbia na Wakati wa kurudi natembea Huwa yanaambatana na mazoezi ya viungo,Kwa vile Niko Kisarawe huku nakutana na vilima viwili wakati wa kwenda na kurudi kimoja.Wakati huu wa Mvua na mwezi wa RAMADHANI Kwa wadau tumesimama.Ila Kila jioni pushups 10, Squatter series,mazoezi ya kukata tumbo pamoja na kunyosha mwili,haya nafanyia chumbani.Kwa Sasa Soda situmii kabisa,Nyama nimeacha kabisa.Niko na zaidi ya 40 lakini shemeji yenu anajua.
ni nyingi sanaAisee bora! Sababu haiwezekani na miaka yangu hii 23 niwe na 79kg🥺
Jomba uko fit ile laana. Kwenda zaidi ya 2km kwa umri wako ni jambo jema hata ingekuwa kwa kutembea. Kuhusu soda huwa inafika tu wakati mwili unakataa ila sisi tunakuwa wabishi kuacha. Wewe ni mfano wa kuigwa.Mimi naenda Km 8 hadi 10 Kila siku jioni naenda kukimbia na Wakati wa kurudi natembea Huwa yanaambatana na mazoezi ya viungo,Kwa vile Niko Kisarawe huku nakutana na vilima viwili wakati wa kwenda na kurudi kimoja.Wakati huu wa Mvua na mwezi wa RAMADHANI Kwa wadau tumesimama.Ila Kila jioni pushups 10, Squatter series,mazoezi ya kukata tumbo pamoja na kunyosha mwili,haya nafanyia chumbani.Kwa Sasa Soda situmii kabisa,Nyama nimeacha kabisa.Niko na zaidi ya 40 lakini shemeji yenu anajua.
Mi naweza tembea mianzini mpaka kwa iddi kwa iddi mpaka stendi ya kilomberoI
Ilboru mpka mianzini tu kwa sasa boda lazima ihusike
Najua hapa JF watu hawataki kufahamika ndo maana nikasema kila mtu afanye kivyake na tutumie huu uzi kupeana hamasa.Mtaani kwako hamna jogging club ujiunge mkuu.
Hilo wazo lako zuri ila sio kwa jf.
Kwann sasa toka mwanzo usingesema tu. Ndugu zangu fanyeni mazoezi mnitumie screenshotNajua hapa JF watu hawataki kufahamika ndo maana nikasema kila mtu afanye kivyake na tutumie huu uzi kupeana hamasa.
Wewe kenge ungesoma uzi kabla ya kukimbilia ku-commentKwann sasa toka mwanzo usingesema tu. Ndugu zangu fanyeni mazoezi mnitumie screenshot