Napendekeza tuanzishe JF Jogging Club ya mtandaoni

Mie kukimbia siwezi ila tu.....please kimbieni huko viwanjani barabarani mnakera na mtakuja KUGONGWA!!!
 
Mimi mbishe zangu ni zaidi ya jogging mkuu ukichanganya na stress nitakonda mno
Nitakua kama msalaba uliotipiwa shati kimuonekano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…