Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Naunga mkono hoja kwa 100%.Kwa juhudi zake tena bila kuchoka wala kukata tamaa katika kutetea haki za binadamu, kupigania utawala bora wa kisheria na kupigania demokrasia nchini, Tundu Lissu anastahili kabisa kutunukiwa tuzo ya amani ya Nobeli 2027.
Kama mwaka jana Corina Machado ndio alishinda, sioni kwa nini Lissu asiweze kushinda. Machado hana resume inayoishinda resume ya Lissu.
Sasa kwa vile mimi sina sifa za kuweza kumpendekeza, napendekeza Watanzania walizo na sifa za kumpendekeza, wafanye hivyo.
Sifa za kuweza kumpendekeza zipo kadhaa. Ukitaka kuzifahamu, ingia Hapo kwenye tovuti yao: Nomination and selection of Nobel Peace Prize laureates - NobelPrize.org
Mtu kama Prof. Shivji anazo sifa za kumpendekeza Lissu huko kwenye kamati ya Nobeli.
Wakufunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, hususan wale wa kitivo cha sheria, wanazo sifa za kuweza kumpendekeza.
Hata wakufunzi wa vyuo vingine vilivyo na accreditation inayoeleweka na kukubalika [siyo kama kile chuo cha so called jenerali Mkunda], wanaweza pia kumpendekeza.
Tundu Lissu anastahili kabisa kupewa hiyo tuzo.
Na kama akishinda hiyo tuzo, hiyo itakuwa the ultimate slap kwa muuaji.
Kama unakubaliana na mimi, shusha maoni yako hapo chini na ikiwezekana tuanzishe kabisa kampeni ili nominations ziwezwe kutumwa kabla ya Januari 31, 2027.
🙏Naunga mkono hoja kwa 100%.
ACT?Majina ya wanaowania tuzo ya Amani ya Nobel huwa ni siri na majina yanapelekwa kabla ya tarehe 31 Januari na mshindi wa mwaka huu atatangazwa tarehe 9 Oktoba mwaka huu.
Nani mwenye sifa ya kupeleka jina ni hawa wafuatao
Kwa mfano, mteuaji halali anaweza kuwa:
1.Mbunge au mwanachama wa serikali ya nchi huru.
2.Mkuu wa nchi.
3.Profesa wa chuo kikuu katika taaluma zilizotajwa na kanuni.
4. Mshindi wa zamani wa Nobel Peace Prize.
5.Mwanachama wa Norwegian Nobel Committee.
6. Baadhi ya wataalamu na viongozi wa taasisi zinazotajwa katika vigezo rasmi.
Kwa vile mimi na wewe hatuko kwenye hayo makundi tuwaombe wabunge wa ACT wapeleke jina au akina Shivji wapeleke jina la Lissu.
Naunga mkono hoja
Hana sifa hata kidogo. Kama kuropka na kukaa jela ni sifa basi Kiiza Besigye angelikuwa ameishaipata!Kwa juhudi zake tena bila kuchoka wala kukata tamaa katika kutetea haki za binadamu, kupigania utawala bora wa kisheria na kupigania demokrasia nchini, Tundu Lissu anastahili kabisa kutunukiwa tuzo ya amani ya Nobeli 2027.
Kama mwaka jana Corina Machado ndio alishinda, sioni kwa nini Lissu asiweze kushinda. Machado hana resume inayoishinda resume ya Lissu.
Sasa kwa vile mimi sina sifa za kuweza kumpendekeza, napendekeza Watanzania walizo na sifa za kumpendekeza, wafanye hivyo.
Sifa za kuweza kumpendekeza zipo kadhaa. Ukitaka kuzifahamu, ingia Hapo kwenye tovuti yao: Nomination and selection of Nobel Peace Prize laureates - NobelPrize.org
Mtu kama Prof. Shivji anazo sifa za kumpendekeza Lissu huko kwenye kamati ya Nobeli.
Wakufunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, hususan wale wa kitivo cha sheria, wanazo sifa za kuweza kumpendekeza.
Hata wakufunzi wa vyuo vingine vilivyo na accreditation inayoeleweka na kukubalika [siyo kama kile chuo cha so called jenerali Mkunda], wanaweza pia kumpendekeza.
Tundu Lissu anastahili kabisa kupewa hiyo tuzo.
Na kama akishinda hiyo tuzo, hiyo itakuwa the ultimate slap kwa muuaji.
Kama unakubaliana na mimi, shusha maoni yako hapo chini na ikiwezekana tuanzishe kabisa kampeni ili nominations ziwezwe kutumwa kabla ya Januari 31, 2027.
Kwa kigezo cha Mbunge ni ACT kwa sasa wanaweza kupeleka jina la Lisu kwenye list (nominee) Ado Shaibu anafaa kutupelekea jina la Lissu kama sivyo wanataalam kama Shivji na LwaitamaACT?
Siyo Nobel tu pia hiyo Nobel iendane na Times person of the year 2027.Kwa juhudi zake tena bila kuchoka wala kukata tamaa katika kutetea haki za binadamu, kupigania utawala bora wa kisheria na kupigania demokrasia nchini, Tundu Lissu anastahili kabisa kutunukiwa tuzo ya amani ya Nobeli 2027.
Kama mwaka jana Corina Machado ndio alishinda, sioni kwa nini Lissu asiweze kushinda. Machado hana resume inayoishinda resume ya Lissu.
Sasa kwa vile mimi sina sifa za kuweza kumpendekeza, napendekeza Watanzania walizo na sifa za kumpendekeza, wafanye hivyo.
Sifa za kuweza kumpendekeza zipo kadhaa. Ukitaka kuzifahamu, ingia Hapo kwenye tovuti yao: Nomination and selection of Nobel Peace Prize laureates - NobelPrize.org
Mtu kama Prof. Shivji anazo sifa za kumpendekeza Lissu huko kwenye kamati ya Nobeli.
Wakufunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, hususan wale wa kitivo cha sheria, wanazo sifa za kuweza kumpendekeza.
Hata wakufunzi wa vyuo vingine vilivyo na accreditation inayoeleweka na kukubalika [siyo kama kile chuo cha so called jenerali Mkunda], wanaweza pia kumpendekeza.
Tundu Lissu anastahili kabisa kupewa hiyo tuzo.
Na kama akishinda hiyo tuzo, hiyo itakuwa the ultimate slap kwa muuaji.
Kama unakubaliana na mimi, shusha maoni yako hapo chini na ikiwezekana tuanzishe kabisa kampeni ili nominations ziwezwe kutumwa kabla ya Januari 31, 2027.
Katuga wewe kichwani zero kilaza mkubwa.Hana sifa hata kidogo. Kama kuropka na kukaa jela ni sifa basi Kiiza Besigye angelikuwa ameishaipata!
Milioni moja.Hiyo tuzo ya nobel ina thamani ya dola ngapi
Kwa kigezo cha Mbunge ni ACT kwa sasa wanaweza kupeleka jina la Lisu kwenye list (nominee) Ado Shaibu anafaa kutupelekea jina la Lissu kama sivyo wanataalam kama Shivji na Lwaitama
ok.Kwa juhudi zake tena bila kuchoka wala kukata tamaa katika kutetea haki za binadamu, kupigania utawala bora wa kisheria na kupigania demokrasia nchini, Tundu Lissu anastahili kabisa kutunukiwa tuzo ya amani ya Nobeli 2027.