Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Sasa hivi vijana wa vijini wanahamia Wilayani na mikoani kwenda kufanya uchuuzi.
Vijana wa Wilayani na mikoani wanahamia Dar es salaam. Kijana hata elimu ya kidato cha nne hana, cheti cha ufundi hana, ufundi au ujuzi wowote hana anakimbia kijijini anakwenda mjini .
Ufanyike usajili kwenye majiji yote Tanzania kwa kila mkazi mpya hasa vijana. Kijana akiingia kwenye jiji aonyeshe vyeti vyake, kama hana cheti afanyiwe test ya ujuzi wake.
Kwa wasio na elimu kuanzia astashahada wenyeji wao wathibitishe shughuli ambazo wameziandaa kwa wageni wao.
Serikali ifumbe macho itoe mabilioni ya mikopo na ruzuku kwa vijana wa vijini walioungana kwa shughuli za kilimo, Uvuvi, Ufugaji, uchimbaji madini n.k
Nguvu kazi ya Taifa inahangahika kwenye majiji kuuza mikorokoro ya mchina na kuendesha bodaboda za Wahindi.