FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Yaani ile ame ‘sign in’ tu kazini, iwe ndani au nje ya ofisi, anatakiwa avae bodycam na aiwashe katika masaa yota atakayokuwa kazini, hata kama ameenda kula.., hii itasaidia sana kuboresha ufanisi katika utendaji kazi na kupunguza rushwa.