FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hoja sio kuagiza au kutengeneza, mbona hata hiyo simu unayotumia imeagizwa na inafanya kazi..Mna skills za kutengeneza hizo bodycam au ndio mwategemea kuziagiza kutoka ughaibuni ?
Hii simu haipo secured.Hoja sio kuagiza au kutengeneza, mbona hata hiyo simu unayotumia imeagizwa na inafanya kazi..
Wazo zuri japo halitekelezeki ktk nchi yetu coz viongozi wa juu ndo wazembe na wavivu kuliko hata watumishi wa ngazi za chini.Yaani ile ame ‘sign in’ tu kazini, iwe ndani au nje ya ofisi, anatakiwa avae bodycam na aiwashe katika masaa yota atakayokuwa kazini, hata kama ameenda kula.., hii itasaidia sana kuboresha ufanisi katika utendaji kazi na kupunguza rushwa.
Suala ni kulamba asali kwa uhalali. Bodycam itaboresha mno utendaji kazi na kufichua wazembeAcha huo ujinga wako
Maana huo ni wivu
Jitahidi ulambe asali na wewe
Sema mnataka video kama za baltazar mzeeSuala ni kulamba asali kwa uhalali. Bodycam itaboresha mno utendaji kazi na kufichua wazembe
Camera ni tofauti na bodycam, yaani hadi anachoongea tutasikia, hadi anaeongea nae tutamuona papo kwa hapoCjui Hilo swala Kama litaleta matokeo 100% kwenye mizani za barabarani Kuna camera lakini rushwa ndo hazikomi