Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
29mUlichanga sh ngapi nikurudishie
Weka ushahidi hapa kuwa ulichangia uambiwe pesa ziko wapiAtuambie pesa zetu za join the chain ziko wapi..otherwise utulivu wake hauna maana.
Matajiri siku zote hawanaga mihemuko ,hasira au hisia , watu waliokulia kwenye umasikini wanakuwa na hasira hasira hata akija kupata hela zile tabia za kimasikini huwa hazitokagiNampongeza sana kiongozi wa CHADEMA Freeman Mbowe kuonesha ukomavu wa kisiasa kuhimili misukosuko kila inapojitokeza amekuwa na utulivu sana mwenye hekima hasa kunapotokea chama kinapitia hali ngumu.
Wapo viongozi walihama lakini chama kilizidi kuimarika zaidi hata sasa nimejifunza zaidi yaliyotokea kwa mch msigwa yeye alikaribishwa chadema akapewa platform akajulikana sasa msigwa amehama chama amesahau yote mazuri aliyofanyiwa anazunguka katika majukwaa ya ccm kumchafua mwamba Mbowe amebaki kuwa kimya sio kwamba hajui madhaifu ya mch Msigwa kukaa kimya ni jibu tosha anamambo mengine ya msingi zaidi.
Mwamba unastahili kabisa kuendelea kuwepo katika kiti Cha uongozi.