Napendezwa sana na utulivu alionao Freeman Mbowe

Napendezwa sana na utulivu alionao Freeman Mbowe

Mbowe ni mkubwa sana kuliko msigwa .
Mwenyekiti wa chama kilichopata kura 4.6 mil zilizotangazwa hawezi kulumbana na msigwa.
 
Nampongeza sana kiongozi wa CHADEMA Freeman Mbowe kuonesha ukomavu wa kisiasa kuhimili misukosuko kila inapojitokeza amekuwa na utulivu sana mwenye hekima hasa kunapotokea chama kinapitia hali ngumu.

Wapo viongozi walihama lakini chama kilizidi kuimarika zaidi hata sasa nimejifunza zaidi yaliyotokea kwa mch msigwa yeye alikaribishwa chadema akapewa platform akajulikana sasa msigwa amehama chama amesahau yote mazuri aliyofanyiwa anazunguka katika majukwaa ya ccm kumchafua mwamba Mbowe amebaki kuwa kimya sio kwamba hajui madhaifu ya mch Msigwa kukaa kimya ni jibu tosha anamambo mengine ya msingi zaidi.

Mwamba unastahili kabisa kuendelea kuwepo katika kiti Cha uongozi.
Matajiri siku zote hawanaga mihemuko ,hasira au hisia , watu waliokulia kwenye umasikini wanakuwa na hasira hasira hata akija kupata hela zile tabia za kimasikini huwa hazitokagi
 
Back
Top Bottom