Kachukue Leo Mimi ya kwangu Nina miaka sita naitumia. Muhimu ni kufanya service kwa muda.Mwaka juzi na mwaka Jana nimesafiri NATO Mara nane kwenda Arusha na bado inadai. Engine usiseme, ni roho ya paka. Spare popote unapata.
Asante mkuu inatumia Lita 1 kwa kilomita ngapi highway na mjini?Mkuu hiyo gari sio ya kujishaul we nenda kachukue ukishindwa kumiliki t i bhas hata pikipiki hautoiweza,,,,hiyo gar engine nzuri,,mafuta iko kawaida tu na safar apo ipo wala usihofu na spear mpaka vijijini zipo
Asante sana mkuuuMkuu hiyo gari sio ya kujishaul we nenda kachukue ukishindwa kumiliki t i bhas hata pikipiki hautoiweza,,,,hiyo gar engine nzuri,,mafuta iko kawaida tu na safar apo ipo wala usihofu na spear mpaka vijijini zipo
Umemaliza mkuu, gari ya mnyonge wa safari safari ndefu ndefuMkuu hiyo gari sio ya kujishaul we nenda kachukue ukishindwa kumiliki t i bhas hata pikipiki hautoiweza,,,,hiyo gar engine nzuri,,mafuta iko kawaida tu na safar apo ipo wala usihofu na spear mpaka vijijini zipo
trueAme nazielewa sana carina watu wengi nawashauri wanunue hizo gar,,yan kama hautak mbwembwe mjini,we chukua TI yako mpya kaa pembeni,,waache watu waangaike na ma brevis yao huko
allex bei gani mkuuila hii gari sio ya kununua tena kwa sasa, kwanza toyota haitengenezi tena hii gari , halafu haiko comfortable sana, ushauri wangu nunua toyota spacio, au runx , or alex, kama uwezo upo kiasi unaweza nunua toyota allion au premio , hizi ni the best car.
Nb: nahusika na kuuza magari toka kampuni ya Autocom Japan Inc Japanese Used Cars Stock List | Autocom Japan
pia waeza join my group ya whatssap kwa ushauri wa magari zaidi Autocom Japan Inc
Bei inaanzia 11.4mallex bei gani mkuu
lita 1 kwa 14 km mpk 15Asante sana mkuuu