Napendwa kuelimishwa juu ya hili gari la CARINA TI

Napendwa kuelimishwa juu ya hili gari la CARINA TI

Mimi naomba ushauri juu ya Carola 111 Exsaloon naka penda sana hako kadude mwenye uzoefu nako tafadhari!
 
Mimi nadili na kuuza magari , yes carina ni gari ngumu kweli, na mafuta yatumia vizuri, but kama ni kijana siwezi kukushauri ununue hio gari kwa sasa asee, its very old fashion na haikuuza sana thus why toyota alistop kuizalisha.
karibu autocom kwa magari mazuri na bei rahisi kabisa.
kuna options nzuri tuu, allion, premio, raum, spacio, allex, runx etc

AUTOCOM JAPAN INC

Office Location: Quality Center/Nyerere/Pugu Rd.


Dar Es Salaam-Tanzania.

[emoji337]℡: +255 767 328 063

✆Whatsapp: +255 674 518 707

[emoji394] msuya@autocj.co.jp

Skype Id: Msuya autocom

http://autocj.co.jp/used_cars
Raum sh ngap
 
Raum sh ngap

Gharama kamili 9.6m.
Available for import.
2004 TOYOTA RAUM
Transmission AT
Drive 2WD
Color NAVY
Fuel G
C.C. 1490
Mileage 90,000km
332609-01.jpg
332609-02.jpg
332609-03.jpg
332609-04.jpg
 
Ndugu kuna wajuaji wameshavamia uzi wako na kuanza kukupotosha...nenda kanunue hiyo carina..gari nzuri sana hiyo achana na hao madalali ambao wanajua majina tu ya magari lkn hawajawahi kuyamiliki..eti imepitwa na wakati!!..bro jipime kama unataka kwenda na fasheni ya magari na una uwezo huo sawa lkn kama hali yako ni ya kawaida kachukue usafiri huo hutojuta na hakuna atakayekucheka...nina carina na sijawahi kutamani gari nyingine!!
Fact mkuu tatizo watu ushamba hauwaishi wanafikiri kumiliki gari y milioni 30 ndo usasa kumbe kila kitu kinatakiwa kifanywe kwa kuangalia mambo yote uchumi wa mtu nk unanunua BMW ukitaka upewe sifa halafu ukitak kwenda k/koo unapanda daladala ndo nini sasa
 
Back
Top Bottom