Napendwa kuelimishwa juu ya hili gari la CARINA TI

Napendwa kuelimishwa juu ya hili gari la CARINA TI

Ame nazielewa sana carina watu wengi nawashauri wanunue hizo gar,,yan kama hautak mbwembwe mjini,we chukua TI yako mpya kaa pembeni,,waache watu waangaike na ma brevis yao huko
hahhhhhh mabrevis yaoo[emoji12] [emoji12] [emoji38] [emoji38] nayachukia
 
ila hii gari sio ya kununua tena kwa sasa, kwanza toyota haitengenezi tena hii gari , halafu haiko comfortable sana, ushauri wangu nunua toyota spacio, au runx , or alex, kama uwezo upo kiasi unaweza nunua toyota allion au premio , hizi ni the best car.
Nb: nahusika na kuuza magari toka kampuni ya Autocom Japan Inc Japanese Used Cars Stock List | Autocom Japan
pia waeza join my group ya whatssap kwa ushauri wa magari zaidi Autocom Japan Inc
Spacio unauzaje?
 
Spacio unauzaje?
Spacio bei inaanzia 10.7m kwa Kampuni yetu. But hio ni bei ya kuagiza.
07413ee91225a6286a1ee922fa19e66e.jpg

Toyota Spacio 2002
Mileage 74000km
Cc 1490
 
Kama unataka gari ya kazi sawa...kama ni swagga kuuzia sura mjini hapana
 
ila hii gari sio ya kununua tena kwa sasa, kwanza toyota haitengenezi tena hii gari , halafu haiko comfortable sana, ushauri wangu nunua toyota spacio, au runx , or alex, kama uwezo upo kiasi unaweza nunua toyota allion au premio , hizi ni the best car.
Nb: nahusika na kuuza magari toka kampuni ya Autocom Japan Inc Japanese Used Cars Stock List | Autocom Japan
pia waeza join my group ya whatssap kwa ushauri wa magari zaidi Autocom Japan Inc
Allion bei gani mkuu?
 
Naomba pia kuifahamu carina ti cc 1762 ubora na udhaifu wake ahsante
 
Kwa anayejua Gari TI jembe,kwanza tangu iingie sokoni haijawahi kuwa out of fashion, yaani unaweza kununua Leo million 8 na baada ya miaka 2 ikiwa ktk hali nzur ukauza million 8,tofauti na Gari nyingine ndogo,pili imara sana,na spare zake zinapatikana kiurahisi,Ti haina tofauti na rav 4 old kiheshima
 
Naomba kujua ubora na udhaifu wa carina si cc 1762
Kiukweli sijaona udhafu wa carina,kiufupi hutojuta na utarud hapa jukwaani after 2 years kutoa shukran.nakumbuka baada ya kuuza verossa nikatafuta ushaur wa gar bora ya kununua

Sintomsahau dereva tax mzee mmoja maeneo ya mwenge ushaur alionipa juu ya carina miaka mitatu iliyopita

Kwanza aliniambia siku zote ukitaka kununua gar nunua gar inayouzika kwan gar huwezi dumu nayo kama mke,so carina ni gar ambayo
1. inauzika mda wowote
2.baada ya miaka miwili unauza zadi ya nusu ya bei uliyonunulia
NB:Kuhusu mafuta ni zaidi ya km 12 /litre in full ac

Spear parts zote available almost tz nzima kwa reasonable price
Nimesafir nayo
Dar mwanza
Dar kahama
Dar mbeya
Dar dodoma
Dar iringa
Dar moro
Safar hizo zote ni zaid ya mara 2 bila tatzo lolote
Just service unawasha tu unasepa

Ukitaka gar ya kuendesha mwisho wa mwezi au ukipata dharula tu unawaza kuanzia service mpaka mafuta mbona gar zipo kibao

Lakin niamshe any time niambie mwanza,napiga sevice ya 50,mafuta ya laki 2...nichukua vichwa vyangu vitatu vya kupiga nao story ...wala huwazi
 
Hizo gari hazina swaga kabisa, niliombaga ushauri hapa JF mwaka jana kuhusu kununua gari ndogo wengi wakashauri ninunue hiyo gari lakini moyo wangu haukuzipenda nikaangukia kwa Toyota Allex
VP kaka Toyota Alex ata me moyowangu unanivuta kwake ebu nipe uzuri wake na asara zake? VP spea zake azisumbui kupatikana? Na mafuta Lita 1 ni KLM ngap?
 
Mimi nadili na kuuza magari , yes carina ni gari ngumu kweli, na mafuta yatumia vizuri, but kama ni kijana siwezi kukushauri ununue hio gari kwa sasa asee, its very old fashion na haikuuza sana thus why toyota alistop kuizalisha.
karibu autocom kwa magari mazuri na bei rahisi kabisa.
kuna options nzuri tuu, allion, premio, raum, spacio, allex, runx etc

AUTOCOM JAPAN INC

Office Location: Quality Center/Nyerere/Pugu Rd.


Dar Es Salaam-Tanzania.

☎℡: +255 767 328 063

✆Whatsapp: +255 674 518 707

msuya@autocj.co.jp

Skype Id: Msuya autocom

http://autocj.co.jp/used_cars
 

Attachments

  • auto4.jpg
    auto4.jpg
    60.7 KB · Views: 162
Asante sana mkuuu

Ndugu kuna wajuaji wameshavamia uzi wako na kuanza kukupotosha...nenda kanunue hiyo carina..gari nzuri sana hiyo achana na hao madalali ambao wanajua majina tu ya magari lkn hawajawahi kuyamiliki..eti imepitwa na wakati!!..bro jipime kama unataka kwenda na fasheni ya magari na una uwezo huo sawa lkn kama hali yako ni ya kawaida kachukue usafiri huo hutojuta na hakuna atakayekucheka...nina carina na sijawahi kutamani gari nyingine!!
 
Back
Top Bottom