Napiga mashuzi ya hatari naomba msaada

Napiga mashuzi ya hatari naomba msaada

Mamaaa ameipokeaje hiyo hali aisee?pole Sana lakini usijali sana hapa Berlin mtu akipiga ya hvyo anaambiwa cheers!

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Swali juu ya hii mada, ulcers ni vidonda vya tumbo je kujaa na gesi tumboni ni dalili ya kuwa na vidonda vya tumbo? ukiwa unakunywa andrews au magnesium kutoa/kupunguza gesi unasaidia au unazidisha tatizo? Naomba madaktari kweli wanisaidie hili pls ni sirias question. Ila pia nimeshangaa wengi humu wamehusisha ku-fart na dalili ya vidonda vya tumbo je ni kweli? am just curious to know.
 
Nimeskia harufu ya ushuzi humu ndani.....ivi ni ww unatujaribishia au kuna mwingine umemwambukiza?
 
Tumia aloe vera gel, in lay man language tumbo lako limeoza unahitaji kusafisha hiyo gel ni kiboko ya tatizo lako
 
Nimeskia harufu ya ushuzi humu ndani.....ivi ni ww unatujaribishia au kuna mwingine umemwambukiza?

hiloo.... hilooo..... hilooooooo linakuja.... bhuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

dammmmn, that was a loud one!
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Pole sana.
Kama unaishi Dar, nenda soko la Kariakoo upande ulipo mlango mkuu kila siku wakati wa jioni huwa kuna watu
wanaleta dawa za asili.

Baada ya kufika utaona kibanda kwa maana ya turubai ambalo limezungushiwa pande Tano, juu na pande zote nne
tofauti na vibanda vingine.
Hao jamaa ni wakenya wameweka loud speaker nje wamebandika tangazo ambalo linawatambulisha kwa jina la
Mega herbs 'N' nutrition.


Hao jamaa wanajitahidi kwani kabla ya kukupa dawa wanakupima kwa mashine iitwayo 'Quantum Analizer' ambayo ina uwezo wa kutambua magonjwa mengi hata ambayo dalili zake bado hazijaonekana. Pia wanazo dawa za kuaminika.


Sababu ya kukupa ushauri huo, ni kwamba kuna vitu vingi ambavyo vinasababisha hali hiyo badala ya kukutajia dawa
ambayo ilimsaidia mtu mwingine ni bora kwanza ukapate vipimo. Wenyewe wanadai kupima ni bure lakini ni lazima

kujiandikisha kwa shilingi 5,000/-.


Nakutakia mafanikio mema, uende na upone haraka !.
 
Angalia aina za vyakula unavyotumia mkuu. Pole sana, hiyo hali inakosesha amani kwenye madaladala, ofisin na maeneo ambayo uko na watu
 
Kanywe dawa inaitwa dukolax.... itapunguza speed
 
Kunywa sana maji!!!!!! na jitahidi kula matunda ili kulainisha choo....


Wana jamii,

Mimi ni kijana wa miaka 24, nina tatizo la kujamba mara kwa mara na harufu yake ni balaa na huwa haitoki sauti, yaani najamba kimyakimya, hebu nisaidieni jamani tafadhali
 
Back
Top Bottom