Napiga mashuzi ya hatari naomba msaada

Napiga mashuzi ya hatari naomba msaada

Ongea na kiwanda cha kutengeneza dawa ya mbu ''rungu'' unaweza kupata tenda ya kusupply gas ya sumu.watakachofanya watakufacilitate na gunia la kunde na kumbikumbi.
 
Mtu ana tatizo kaamua kulitoa watu wanafanya utani wa kitoto. Badala ya kumpa msaada mnatoa maneno ya ajabu.
 
Wana jamii,

Mimi ni kijana wa miaka 24, nina tatizo la kujamba mara kwa mara na harufu yake ni balaa na huwa haitoki sauti, yaani najamba kimyakimya, hebu nisaidieni jamani tafadhali

Yani we sredi zako ni za hajabu hajabu mara govi,mara kiuno hauwezi kugonga!!
 
Mtu ana tatizo kaamua kulitoa watu wanafanya utani wa kitoto. Badala ya kumpa msaada mnatoa maneno ya ajabu.

Ungepitia nyuzi zake huyo mtu unayomtetea walahi utarudi na kuifuta comment yako!
 
Hiyo tayari Fursa, kajaribu kuongea na profesa Muhongo ili kwa pamoja tujaribu kupunguza matatizo ya umeme si unajua tena hiyo gesi ni mali!
 
Ungepitia nyuzi zake huyo mtu unayomtetea walahi utarudi na kuifuta comment yako!

Tuliza masabuli hayo, Kama huna msaada piga kimya, sio lazima kila kwenye tread na wewe uwepo, nyengine uwe unasoma tu unaishia unawacha wenye msaada wachangie
 
Akunyimae kunde kakupunguzia mashuzi...usipende kulakula kunde na mboooooooga za jamii zake..
 
Wana jamii,

Mimi ni kijana wa miaka 24, nina tatizo la kujamba mara kwa mara na
harufu yake ni balaa na huwa haitoki sauti, yaani najamba kimyakimya,
hebu nisaidieni jamani
tafadhali
kama nguchiro?
 
Pole Muhanga,ushuri wangu funga kwa kuacha chakula siku mbili katika wiki kul jioni pia unapokula anza kunywa maji ya uvuguvugu baada ya nusu saa kula chakula laini,epuka kunywa maji mara baada ya kula,muhimu kunywa maji baada ya nusu saa mara baada ya kula,epuka kunywa maji ya baridi baada ya kula,jaribu hii ukiona unaendelea muone daktari kwa uchunguzi zaidi.
 
Sasa wewe afadhali mimi najamba ya kulia sauti kubwa sana na lazima nikijamba mavi yatoke kidogo,sasa sijui ni ugonjwa au nini,naomba ushauri
 
Ulishawahi kuvurugwa kabaang?

Masihara haya jamani kuna watu wanahitaji matibabu... Mabunduki yanapigwa hadi kuchanganyikiwa.... Ukikaa unaangalia kulia na kushoto halafu ukiona watu wapo mbali mtu anainua kalio moja na kufyatua kitufe cha kupigia simu. Inatekenya kidogo lakini kwa wengine ni kero.
 
Jaribu kula gluten free diet, inawezekana you can't tolerate gluten food, au inaweza kuwa minyoo tu mkuu, ila ni vyema kwenda hospital kufanya vipimo ili kuondoa uwezekano wa maradhi makubwa, Goodluck.
 
Kuna siku nilikua napiga mashuzi mfululizo,yale ya kimya kimya,yananuka,wakati naendelea kutusua na nipo mwenyewe dukan,mara akaingia dada mrembo na kukuta shuzi linaanza kusambaa,weeeee
 
Back
Top Bottom