Wana jamii,
Mimi ni kijana wa miaka 24, nina tatizo la kujamba mara kwa mara na harufu yake ni balaa na huwa haitoki sauti, yaani najamba kimyakimya, hebu nisaidieni jamani tafadhali
Mtu ana tatizo kaamua kulitoa watu wanafanya utani wa kitoto. Badala ya kumpa msaada mnatoa maneno ya ajabu.
Ungepitia nyuzi zake huyo mtu unayomtetea walahi utarudi na kuifuta comment yako!
kama nguchiro?Wana jamii,
Mimi ni kijana wa miaka 24, nina tatizo la kujamba mara kwa mara na
harufu yake ni balaa na huwa haitoki sauti, yaani najamba kimyakimya,
hebu nisaidieni jamani
tafadhali
Ulishawahi kuvurugwa kabaang?
hivyo ni vidonda vya tumbo, wahi tiba mapema kabla ya kuathirika zaidi kama vile kupoteza nguvu za kiume
Huyu ni choko