"Napiga tikitaka, mademu wananitaka, na mimi siwataki" wengi wameishia kuimba tu, hata salam hawapewi uko njiani

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Kuna jamaa aliwahi niambia kama mimi angekua yeye, angetembea na wadada wengi sana, nikamuangalia nikajua ndio uhalisia, wanaume wengi hawana mvuto kwa wadada, Asilimia kubwa ya wanaume hawajawahi kutongozwa hata mara moja.

Kama unajua hauna mvuto wa asili kwenye mapenzi na wadada, basi jikite kwenye career, at least huko utapata mtu akupendae hata kwa ujuzi au kwa privision utazo mfanyia.
 
kama unajua hauna mvuto wa asili kwenye mapenzi na wadada, basi jikite kwenye career, at least huko utapata mtu akupendae hata kwa ujuzi au kwa privision utazo mfanyia.

Nadhan ukifika 35 yrs utagundua kuwa kusifia Sura nzur haiwez kuleta chakula mezani, kusomesha na kulea familia pamoja na kufanya maendeleo.

Kujisifia kuwa uko ABC ni kwa vijana wanao balehe. Ukishakuwa mwanaume hata kama uko na uhandsome . Uanaume wako unaadharaulika kama hauna Maendeleo na umeshindwa kujisimamia kama Mwanaume.
 
Kuna jamaa aliwahi niambia kama mimi angekua yeye, angetembea na wadada wengi sana, nikamuangalia nikajua ndio uhalisia, wanaume wengi hawana mvuto kwa wadada, Asilimia kubwa ya wanaume hawajawahi kutongozwa hata mara moja.

Kama unajua hauna mvuto wa asili kwenye mapenzi na wadada, basi jikite kwenye career, at least huko utapata mtu akupendae hata kwa ujuzi au kwa privision utazo mfanyia.

Acheni kusagana nyie madem
 
Back
Top Bottom