Napinga Daladala kuingizwa kwenye BRT

Tusiishie kulalamika, tuchukue hatua

Hapa wakisoma lazma wacheke kwa nguvu 😁😁

Umaskini uliopo ni reflection tosha ya uoga wetu na labda tusubiri hiki kizazi kiburi, jeuri na chenye mawazo huru "2000 kids" Maana wanaonesha matumaini ya uthubutu ila hiki kilichopiga kura kati ya mgombea na kimvuli. Sahau mkuu 😁
 
Mkuu inaonekana hujaelewa!! Sio kwamba hizo daladala zitatumia njia ya BRT, bali hiyo route haikuwepo kwa daladala bali ilikuwa ikifanywa na brt, tu, ila zitaruhusiwa sasa hizo daladala kwenda route hiyo.

Hii itasaidia lakini pia itathibitisha kuwa mradi wa BRT umefeli
 
Hii itasaidia lakini pia itathibitisha kuwa mradi wa BRT umefeli
Huo umesha fail!! Wewe inawezekana vipi hadi mabasi 70 yana paki eti ni mabovu, ana kuja mwanasiasa anatoa wiki 2 eti yawe barabarani!! Wakati kuna vipuri vya kuagizwa nje, pesa zote ziko kwenye fuko kuu la hazina!! Kutoka huko nako ni mtihani!! Serikali haya mambo yalisha washinda miaka mingi tu
 
Huu ni uxnge wa kiwango cha kishoga, atu nini?!!!!! Mbona wanataka kuharibu mradi mbwa hawa?!!!!!!! Hii haijawahi tokea duniani!!! , kweli tumelipa 75 billion halafu tunashindwa kununua basi?!! My God!

Foleni itahamia kwenye mwendokasi kwa style hii
 
Mkuu inaonekana hujaelewa!! Sio kwamba hizo daladala zitatumia njia ya BRT, bali hiyo route haikuwepo kwa daladala bali ilikuwa ikifanywa na brt, tu, ila zitaruhusiwa sasa hizo daladala kwenda route hiyo.
Kwasababu yoyote Ile iwayo, daladala is and should not kwenye mradi wa BRT. Si tunaona Bajaj zilivyojazana Morogoro Road??
 
Kwasababu yoyote Ile iwayo, daladala is and should not kwenye mradi wa BRT. Si tunaona Bajaj zilivyojazana Morogoro Road??
Sasa mabasi ya BRT yamezidiwa na abiria, cha kufanya ni kuruhusu daladala tu kwenye route hizo hakuna jinsi, kwani asubuhi/jioni watu wanapata shida sana.
 
Mkuu inaonekana hujaelewa!! Sio kwamba hizo daladala zitatumia njia ya BRT, bali hiyo route haikuwepo kwa daladala bali ilikuwa ikifanywa na brt, tu, ila zitaruhusiwa sasa hizo daladala kwenda route hiyo.
Nimesema mara nyingi kwamba njia pekee ya kuboresha hii huduma ni kutoa leseni kwa walau kampuni 2 au tatu zenye uwezo na capital ya ku operate kwenye hizo barabara. Kumbuka ni pesa ya walipa kodi ndiyo imejenga hizo barabara kupitia mikopo. Hao UDART waneshafeli big time!! Juzi hapa wamekiri mabus 70 yamekufa, hawana uwezo wa kuyafufua kuna kitu hapo? Dawa ni kuwa na washindani wenye uwezo ili wakamate hizo ruti zote na hao UDART watajifia kifo cha mende au wanunuliwe, hawana uwezo kabisa. Sasa tukirudi kwenye short term solution ili kuondoa mateso kwa abiria ilitakiwa wakati mchakato wa kutafuta kampuni zingine ukiendelea hawa LATRA watoe kibali kwa watu wenye daladala kubwa au mabus makubwa walau 100, yenye milango 2 (kuingia na kutokea) waingie kupiga kazi kwenye hizo barabara za mwendo kasi ili kuondoa kero kwa wananchi. Hivyo vidala dalali vidogo 15 ni upuuzi mtupu...
 
Na wakileta mchezo tutaanika hadharani majina ya wenye hizo daladala .
 
Ndio maana sipendi kufuatilia siasa za tz maana zinaniumiza kichwa tu
 
Kama ni waziri au ni bodi ni mawazo ya vichochoroni kabisa hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…