Napinga Dkt. Harrison Mwakyembe kuwa Mwenyekiti wa Tume ya kuchunguza kufeli kwa wanafunzi wengi wa Law School

Usingelikuwa MwanaChadema labda tungekusikiliza. Ila sasa hivi una gubu tu. Ungelifurahi kama Tundu Lissu angelikuwa Mwenyekiti akisaidiwa na Amsterdam!!
 
nchi ngumu hii
 

Unaweza kukuta hiyo mitihani hata mtunzi ukimpa masaaa3 nae anaweza asimalize. Issue ya moderation kwenye mitihani unaweza kukuta ni shida pia. Tusubiri kamati itasema nini. Lakini kama kweli darasa la watu 400 wafaulu 4% basi shida ipo mahali. Kinachoshangaza hao wote waliofeli wangeenda nje ungekuta wote wanafaulu!
 
Sas
Sasa wajameini kumfichia aibu Boss wako kuna Ubaya gani??....kwa sababu alimpenda Boss wake kwanini amgalagaze hovyo?? kwani yeye hana akili??........ni sawa na Baba yako akijamba sebureni eti unacheka...ni laana hiyo!!

Mtoto mdogo wa Nuhu alipo muona Babake uchi alicheka kwa raha na haki zake zoote! akalaaniwa kizazi chake choote mpaka leo bila shaka weye ni kizazi hiko!!

Kumtunzia Boss wako heshima ni Baraka kubwa sana! usijidanganye ndo maana anapeta mpaka leo!! waleee wasema hovyo km Jiwe, Msiba, Makonda wako wapi leo??

Shetani alidai haki Mbinguni na kumsema Mungu eti ana madaraka makubwa, akayatamani leo hii tunasota nae humu mbinguni hatii mguu tena!...anasubiri kupigwa kiberiti! kwani mkubwa hakosei??

wewe hapo hujawahi kukosea....sikia sasa kukosea ni ubinadamu siyo suala la kushikia kidedea! mtu mwingine! unasikia! tena amabaye hakosei ndo hatari zaidi! ya dikteta!!

Drs la saba kuambiwa hivo kuna ubaya gani kwani?? si ndivo walivyo? au!!.......kwani drs la saba ni matusi??...au weye hukupitia huko? uliruka?? basi km ni hivo rudi ukalisomee!.....

kwani kusema ana degree 4, ni tusi?? si ndo alivyo?? na ukweli wenyewe au!! ....kwani kusema nimesoma kihalali ni dhambi/kuvunja katiba?? ya wapi??...wewe ni dhaifu sana!....unataka aambiwe ana vyeti fake! ndo ufurahie au!!

kifupi wee mzee acha chuki za kimusoma musoma ndo maana nyie waruri wachawi sana! mnamsema mutu mpaka anakufa?? sasa nani msafi aende sasa??!!

nenda weye basi make weye! huna dhambi! wkt unaiba mifugo kila siku, tunawajua wote bana! mliiba mifugo ya mbunge Mathayo.... uongo???
 
Vipi kuhusu ukweli wa hoja zetu ? Halafu unachopaswa kujua ni kwamba BAVICHA ndio Taasisi pekee nchi Tanzania iliyojitolea kupigania haki za wadau wote
Hapa unajitahid kusafisha chama chako kisionekane kilimpa nafasi fisadi agombee urais
 
Waunde na kamati nyingine ya kuchunguza vyuo vikuu vya serikali sababu za wanachuo wengi kupata supp na disco.

Je, chanzo ni vitisho vya malecturer? "Yaani mpo wengi hivi, lazima mbaki nusu. Siwezi kufundisha darasa kubwa kiasi hiki"

Au ni mazingira ya kujifunzia?
Au ni mitaala?
Au ni utaalam mdogo wa wakufunzi?
Au ni course nyingi kwa semester moja? Nk nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…