KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Mwishowe itaku'kalisha'!Inaendelea kuwa kali zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwishowe itaku'kalisha'!Inaendelea kuwa kali zaidi
Na tena anaweza akatumia nauli kubwa kuliko ya basi alilopandaUmenena ukweli wa zaidi ya asilimia [emoji817] Congratulations! Yaani mtu anaenda Dar es Salaam anashushwa Mbezi Majanga. Mifumo ya kizamani sana! Halafu hapo Mbezi aanze tena safari nyingine! Ya mambo ya mapato yanatuharibia mambo.
"No problem can be solved from the same level of consciousness that created it." - Albert EinsteinWadau au wenye maslahi yao its time kutumia good lawyers,mahakama zetu na migomo ikiwezekana ili kupambana na hawa madikteta uchwara ambao hawajui sheria wala kazi zao, sina uhakika kama kisheria au kimamlaka ana uwezo wa kulazimisha mabasi yaanzie wapi safari zao, vyama vya wasafirishaji gomeni na buruza huyo Makalla mahakamani mtashinda tuu na labda next time kabla ya kufanya ugoro wao watafikiria na kufuata sheria...tumechoka
Kuwapa heshima wafanya biashara wasiofuata utaratibu mzuri wa kufanya biashara ni kulidharirisha taifaNaafikiana nawe 100% ila napingana nawe 100% kumwita mtu mwenye akili za Makala mheshimiwa, Makala hastahili kuheshimiwa kwa lolote, kwa mtazamo huo ipo siku hata vibaka watapewa heshima, kitendo alichofanya Makala ni economic rapping, na hii huenda ina agenda ya siri nyuma yake kwa manufaa yake binafsi. He is stupid!!
Kuwapa heshima wafanya biashara wasiofuata utaratibu mzuri wa kufanya biashara ni kulidharirisha taifa
Chinga na mama lishe wanakiaibisha hicho kituo kikuu
Hakuna mpangilio wowote ndipo ninapo amini kuwa nchi itakaa sawa baada ya ccm kuondokewa madarakani.
Makala kazi imekushinda mapema sana.
Uko mkoa gani bwashee?Dar mnadeka sana! Mikoa yote utaratibu ni kupanda na kushusha stand na hakuna malalamiko!na hakuna hiace masaa 24 kama nyie usiku watu tunapanda bajaji na boda Mbona mnajipa umuhimu sana?
Nyie kama mnapenda kusumbuliwa unnecessary na wajinga kama makalla endeleeni tuu na shida zenuDar mnadeka sana! Mikoa yote utaratibu ni kupanda na kushusha stand na hakuna malalamiko!na hakuna hiace masaa 24 kama nyie usiku watu tunapanda bajaji na boda Mbona mnajipa umuhimu sana?
Hapo nakukatalia iyo hoja yako,mule ndani stand ni ndogo na kama ujuavyo kuna baadhi ya makampuni ya mabasi yamejipanua kihuduma zaidi,mfano mdogo kampuni ya kilimanjaro anaweza akasema humu ndani nataka mnipatie sehemu kubwa ambayo mie nitahudumia wateja wangu pasipo kuingiliana na wale wapigadebe mle ndani ama kama unakumbuka wakati kampuni ya Scandnavia wakati wapo wa moto lile eneo alilokuwa nalo pale ndani ubungo ulilionaje ,sasa je baadhi ya makampuni ya first class one yakihitaji eneo kubwa je watapatiwaMimi naona RC yupo sawa tu kwa maana halisi ya kuwa na stand ya mkoa. Haitakuwa na maana kama kila mmiliki wa mabasi awe na stand yake, hata hivyo ikumbukwe ile investment iliyowekwa pale na serikali inahitaji return japo kuwa ni huduma kwa wananchi. Sasa return itarudi vipi ikiwa lengo halifikiwi kwa sababu ya uchache wa abiria
Hata uko zilipo stand nyingine za mabasi pia kuna mamalishe na wenye vioksi pia nao wanahitaji kupata riziki,ama waliopo mbezi ni mamalishe wa ccm na wale wa nje ya pale ni mamalishe wachademaBadala ya kutatua tatizo yeye bize kutengeneza tatizo kwa ajili ya Mama lishe na machinga uku abiria wakipata shida
Huo utaratibu haufai kwa sababu kituo kilijengwa na awamu ya tano (Magufuli), ingekuwa kimejengwa na Vasco da Gama au SSH kingefaav kweli. Kwani wewe hujui chochote kilichobuniwa, assiwa, anzishwa, jengwa na wawamu ya tano hakifai? Kuna wenine hatujawahi kwenda vijijini kwetu kwa savbabu kuna sehemu za barabara za kwenda huko zilijengwa na Magufuli. Tumeapa hatutakanyaga kwetu kwa kutumia hizo barabara, treni, meli, au ndege za serkali ya Magufuli.Sina hakika kama Bima za hayo magari zitakuwa zinahusiana na mpango huo; hilo ni jibu moja la harakaharaka. Nina hakika zipo sababu nyingine nyingi, tena za kisheria zinazowabana wasafirishaji hao, na hata kwa usalama wa wasafiri wao.
Hata hotel yenye hadhi ingekuwa ni "aibu"?
Hiyo ya 'Sipora' naona imenikalia pembeni kabisa, maanake sielewi kitu!
Lakini niseme tu ninayoyajua kwa uzoefu: Miji mikubwa yote duniani, kuna vituo kama hicho cha Magufuli, na utaratibu huo ni wakawaida kabisa. Sasa kama kwa Tanzania utakuwa haufai, hilo litakuwa ni jambo jingine.
Ndio kusema OTHERWISE Serikali ya mkoa wajenge Magufuli bus terminal's sub stations zijengwe Mbagala,Chanika,Msasani/Kawe,Kigamboni mji mwemaAmos Makalla ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Mfadhili wa zamani wa bendi ya FM ACADEMIA ya Kinondoni, bila kufanya utafiti wowote ule leo ametoa amri ya kulazimisha mabasi yote ya mikoani kuanzia safari zao kwenye kituo kikuu cha mabasi ya mikoani cha Mbezi Luis, kinachoitwa kituo cha mabasi cha Magufuli na kushushia abiria wake hapohapo.
Lengo kuu la kauli yake hii ni kujaribu kukusanya watu ili kuneemesha wafanyabiashara waliojazana kwenye stendi hiyo bila mpangilio wowote, Makalla anaamini kwamba abiria wote wakishushwa ama kuanzia safari zao hapo basi watanunua bidhaa za wamachinga waliojazana hapo, hivi ndivyo akili yake ilivyomtuma, kwamba abiria wakomeshwe ili kufurahisha wafanyabiashara, amesahau kwamba abiria ni bora kuliko wamachinga kwenye mustakabhali wa Safari, hata hivyo sikubaliani naye.
Mbezi Luis eneo ilikojengwa Stendi ya Mabasi ya Mikoani ni nje kabisa ya jiji la DSM , kulazimisha Mabasi yaliyokuwa yanaanzia safari zake Mbagala, Tandika au Kigamboni kuacha kazi hiyo na kulazimisha sasa lazima yote yaanzie Nje ya jiji ni sawa na unyama , kwamba sasa aliyekuwa anapandia basi Mbagala akodi teksi kwa zaidi ya gharama ya tsh elfu 30 ili kulifuata basi Mbezi Luis, kwa vile tu Amos Makalla kajisikia hivyo haikubaliki na ni lazima ipingwe kwa nguvu zote.
Alichotakiwa kufanya Mh RC ni kuhakikisha kwamba basi lolote kutoka kwenye yard yoyote ile binafsi linakoanzia safari lisiondoke DSM bila ya kupita Stendi kuu ama lishushe litakako ila ni lazima lije stendi kuu, Vinginevyo Mh Makalla atamke hadharami Maslahi yake binafsi atakayopata kwa kuwatesa abiria wa Kigamboni, Vikindu , Chamanzi, Mbagala, Tandika na kwingineko waliokuwa wanapata ahueni ya kuanzia safari kwenye maeneo yao ya karibu.
Naomba kuwasilisha.
Wala hatukusema hivyo , bali uzi umejieleza wenyeweNdio kusema OTHERWISE Serikali ya mkoa wajenge Magufuli bus terminal's sub stations zijengwe Mbagala,Chanika,Msasani/Kawe,Kigamboni mji mwema
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mwigulu sisi tupo nyuma yako, nunua mabasi ya HESTA LAKSHARI, WEKA TOZO zilipie SYINGYIDAH BIGGY STA na miamala tununue V8 -XRR 2022 maana hivi prado na kruza mkonge zinaumiza sana migongo.Amos Makalla ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Mfadhili wa zamani wa bendi ya FM ACADEMIA ya Kinondoni, bila kufanya utafiti wowote ule leo ametoa amri ya kulazimisha mabasi yote ya mikoani kuanzia safari zao kwenye kituo kikuu cha mabasi ya mikoani cha Mbezi Luis, kinachoitwa kituo cha mabasi cha Magufuli na kushushia abiria wake hapohapo.
Lengo kuu la kauli yake hii ni kujaribu kukusanya watu ili kuneemesha wafanyabiashara waliojazana kwenye stendi hiyo bila mpangilio wowote, Makalla anaamini kwamba abiria wote wakishushwa ama kuanzia safari zao hapo basi watanunua bidhaa za wamachinga waliojazana hapo, hivi ndivyo akili yake ilivyomtuma, kwamba abiria wakomeshwe ili kufurahisha wafanyabiashara, amesahau kwamba abiria ni bora kuliko wamachinga kwenye mustakabhali wa Safari, hata hivyo sikubaliani naye.
Mbezi Luis eneo ilikojengwa Stendi ya Mabasi ya Mikoani ni nje kabisa ya jiji la DSM , kulazimisha Mabasi yaliyokuwa yanaanzia safari zake Mbagala, Tandika au Kigamboni kuacha kazi hiyo na kulazimisha sasa lazima yote yaanzie Nje ya jiji ni sawa na unyama , kwamba sasa aliyekuwa anapandia basi Mbagala akodi teksi kwa zaidi ya gharama ya tsh elfu 30 ili kulifuata basi Mbezi Luis, kwa vile tu Amos Makalla kajisikia hivyo haikubaliki na ni lazima ipingwe kwa nguvu zote.
Alichotakiwa kufanya Mh RC ni kuhakikisha kwamba basi lolote kutoka kwenye yard yoyote ile binafsi linakoanzia safari lisiondoke DSM bila ya kupita Stendi kuu ama lishushe litakako ila ni lazima lije stendi kuu, Vinginevyo Mh Makalla atamke hadharami Maslahi yake binafsi atakayopata kwa kuwatesa abiria wa Kigamboni, Vikindu , Chamanzi, Mbagala, Tandika na kwingineko waliokuwa wanapata ahueni ya kuanzia safari kwenye maeneo yao ya karibu.
Naomba kuwasilisha.
Duh hii ni hatariAmos Makalla ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Mfadhili wa zamani wa bendi ya FM ACADEMIA ya Kinondoni, bila kufanya utafiti wowote ule leo ametoa amri ya kulazimisha mabasi yote ya mikoani kuanzia safari zao kwenye kituo kikuu cha mabasi ya mikoani cha Mbezi Luis, kinachoitwa kituo cha mabasi cha Magufuli na kushushia abiria wake hapohapo.
Lengo kuu la kauli yake hii ni kujaribu kukusanya watu ili kuneemesha wafanyabiashara waliojazana kwenye stendi hiyo bila mpangilio wowote, Makalla anaamini kwamba abiria wote wakishushwa ama kuanzia safari zao hapo basi watanunua bidhaa za wamachinga waliojazana hapo, hivi ndivyo akili yake ilivyomtuma, kwamba abiria wakomeshwe ili kufurahisha wafanyabiashara, amesahau kwamba abiria ni bora kuliko wamachinga kwenye mustakabhali wa Safari, hata hivyo sikubaliani naye.
Mbezi Luis eneo ilikojengwa Stendi ya Mabasi ya Mikoani ni nje kabisa ya jiji la DSM , kulazimisha Mabasi yaliyokuwa yanaanzia safari zake Mbagala, Tandika au Kigamboni kuacha kazi hiyo na kulazimisha sasa lazima yote yaanzie Nje ya jiji ni sawa na unyama , kwamba sasa aliyekuwa anapandia basi Mbagala akodi teksi kwa zaidi ya gharama ya tsh elfu 30 ili kulifuata basi Mbezi Luis, kwa vile tu Amos Makalla kajisikia hivyo haikubaliki na ni lazima ipingwe kwa nguvu zote.
Alichotakiwa kufanya Mh RC ni kuhakikisha kwamba basi lolote kutoka kwenye yard yoyote ile binafsi linakoanzia safari lisiondoke DSM bila ya kupita Stendi kuu ama lishushe litakako ila ni lazima lije stendi kuu, Vinginevyo Mh Makalla atamke hadharami Maslahi yake binafsi atakayopata kwa kuwatesa abiria wa Kigamboni, Vikindu , Chamanzi, Mbagala, Tandika na kwingineko waliokuwa wanapata ahueni ya kuanzia safari kwenye maeneo yao ya karibu.
Naomba kuwasilisha.
Baadaye amerekebishaDuh hii ni hatari