Napinga hoja ya RC Makalla ya kulazimisha Mabasi yote ya Mikoani kupakia na kushusha abiria Stendi ya Magufuli pekee

Wadau au wenye maslahi yao its time kutumia good lawyers,mahakama zetu na migomo ikiwezekana ili kupambana na hawa madikteta uchwara ambao hawajui sheria wala kazi zao, sina uhakika kama kisheria au kimamlaka ana uwezo wa kulazimisha mabasi yaanzie wapi safari zao, vyama vya wasafirishaji gomeni na buruza huyo Makalla mahakamani mtashinda tuu na labda next time kabla ya kufanya ugoro wao watafikiria na kufuata sheria...tumechoka
 
"No problem can be solved from the same level of consciousness that created it." - Albert Einstein
 
Jambo hili lipingwe kwa nguvu zote, nchi hii siyo ya watawala, ni nchi yetu sote, hakuna tabaka lenye haki ya kuwakandamiza watu wenye kipato cha chini kiasi hicho kwa manufaa binafsi
 
Kuwapa heshima wafanya biashara wasiofuata utaratibu mzuri wa kufanya biashara ni kulidharirisha taifa

Chinga na mama lishe wanakiaibisha hicho kituo kikuu

Hakuna mpangilio wowote ndipo ninapo amini kuwa nchi itakaa sawa baada ya ccm kuondokewa madarakani.

Makala kazi imekushinda mapema sana.
 

Dar mnadeka sana! Mikoa yote utaratibu ni kupanda na kushusha stand na hakuna malalamiko!na hakuna hiace masaa 24 kama nyie usiku watu tunapanda bajaji na boda Mbona mnajipa umuhimu sana?
 
Dar mnadeka sana! Mikoa yote utaratibu ni kupanda na kushusha stand na hakuna malalamiko!na hakuna hiace masaa 24 kama nyie usiku watu tunapanda bajaji na boda Mbona mnajipa umuhimu sana?
Nyie kama mnapenda kusumbuliwa unnecessary na wajinga kama makalla endeleeni tuu na shida zenu
 
Hapo nakukatalia iyo hoja yako,mule ndani stand ni ndogo na kama ujuavyo kuna baadhi ya makampuni ya mabasi yamejipanua kihuduma zaidi,mfano mdogo kampuni ya kilimanjaro anaweza akasema humu ndani nataka mnipatie sehemu kubwa ambayo mie nitahudumia wateja wangu pasipo kuingiliana na wale wapigadebe mle ndani ama kama unakumbuka wakati kampuni ya Scandnavia wakati wapo wa moto lile eneo alilokuwa nalo pale ndani ubungo ulilionaje ,sasa je baadhi ya makampuni ya first class one yakihitaji eneo kubwa je watapatiwa
 
Badala ya kutatua tatizo yeye bize kutengeneza tatizo kwa ajili ya Mama lishe na machinga uku abiria wakipata shida
Hata uko zilipo stand nyingine za mabasi pia kuna mamalishe na wenye vioksi pia nao wanahitaji kupata riziki,ama waliopo mbezi ni mamalishe wa ccm na wale wa nje ya pale ni mamalishe wachadema
 
Huo utaratibu haufai kwa sababu kituo kilijengwa na awamu ya tano (Magufuli), ingekuwa kimejengwa na Vasco da Gama au SSH kingefaav kweli. Kwani wewe hujui chochote kilichobuniwa, assiwa, anzishwa, jengwa na wawamu ya tano hakifai? Kuna wenine hatujawahi kwenda vijijini kwetu kwa savbabu kuna sehemu za barabara za kwenda huko zilijengwa na Magufuli. Tumeapa hatutakanyaga kwetu kwa kutumia hizo barabara, treni, meli, au ndege za serkali ya Magufuli.
 
Ndio kusema OTHERWISE Serikali ya mkoa wajenge Magufuli bus terminal's sub stations zijengwe Mbagala,Chanika,Msasani/Kawe,Kigamboni mji mwema

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Mwigulu sisi tupo nyuma yako, nunua mabasi ya HESTA LAKSHARI, WEKA TOZO zilipie SYINGYIDAH BIGGY STA na miamala tununue V8 -XRR 2022 maana hivi prado na kruza mkonge zinaumiza sana migongo.
 
Kuna haja ya kuwatunuku nishani baadhi ya wanajf wanaopinga uozo wa viongozi ambao baadaye unadhihirika
 
Duh hii ni hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…