Napinga kejeli za wachora katuni wa Kenya kwa Taifa Stars

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Nikiwa kama Mtanzania sijaridhika kabisa na kejeli ambazo wakenya wanatufanyia mitandaoni , Uungwana ni vitendo , hata kama wametufunga lakini hali hii haikubaliki.

FB_IMG_1561716896798.jpg
 
Angepatia kama angemvisha kivazi chani kiwiti
 
Nikiwa kama Mtanzania sijaridhika kabisa na kejeli ambazo wakenya wanatufanyia mitandaoni , Uungwana ni vitendo , hata kama wametufunga lakini hali hii haikubaliki.

View attachment 1141068

Ndugu zangu Watz, Wabongo na Wazalendo tukubalini tu yaishe.
Kila mmoja ameshuhudia mechi ya jana usiku pale June 30 tulivyobugizwa goli 3 kwa 2 pamoja na kuongoza kipindi chote cha 1. Sioni sababu ya kuwalaumu Wakenya. Tatizo letu tunaingiza SIASA na UCCM kila sehemu hata kwenye mambo ya msingi yasiyo hitaji blablah za kisiasa.

Kama watu hawajui ni hivi, kipigo cha Taifa Stars jana kimechangiwa sana na majigambo ya RC Makonda na Baba yake.
Taifa Stars walikuwa tayari wameshashindwa baada ya Rais Magufuli kumwamuru RC wake mpendwa Bwana Konda kupanda ndege kwenda Masri eti kuhamasisha Stars washinde......!!!

Bado natafakari sana huyu Konda alikuwa na nini cha zaidi kuliko kina Spika Ayubu Ndugai na Wabunge wake ile siku ya kipigo toka SENEGALI....!!Kwa watu ambao wanaweza kusoma katikati ya mistari...Konda ni mtu mwenye kuamini mambo ya kishirikina hata Gufuli analijua hili....Sasa walifikiri akienda na ndumba zake za Bwagamoyo zitafua dafu...!!

Angalia mtu kama Rais Uhuru Kenyata hatukuona popote akijigamba wala kutoa kauli za kipuuzi kama za DAB na babake.
Simba mwenda kimya ndiye anayekula nyama...wahenga hawakuwa wajinga..!!!
 
Ndugu zangu Watz, Wabongo na Wazalendo tukubalini tu yaishe.
Kila mmoja ameshuhudia mechi ya jana usiku pale June 30 tulivyobugizwa goli 3 kwa 2 pamoja na kuongoza kipindi chote cha 1. Sioni sababu ya kuwalaumu Wakenya. Tatizo letu tunaingiza SIASA na UCCM kila sehemu hata kwenye mambo ya msingi yasiyo hitaji blablah za kisiasa.

Kama watu hawajui ni hivi, kipigo cha Taifa Stars jana kimechangiwa sana na majigambo ya RC Makonda na Baba yake.
Taifa Stars walikuwa tayari wameshashindwa baada ya Rais Magufuli kumwamuru RC wake mpendwa Bwana Konda kupanda ndege kwenda Masri eti kuhamasisha Stars washinde......!!!

Bado natafakari sana huyu Konda alikuwa na nini cha zaidi kuliko kina Spika Ayubu Ndugai na Wabunge wake ile siku ya kipigo toka SENEGALI....!!Kwa watu ambao wanaweza kusoma katikati ya mistari...Konda ni mtu mwenye kuamini mambo ya kishirikina hata Gufuli analijua hili....Sasa walifikiri akienda na mdumba zake za Bwagamoyo zitafua dafu...!!

Angalia mtu kama Rais Uhuru Kenyata hatukuona popote akijigamba wala kutoa kauli za kipuuzi kama za DAB na babake.
Simba mwenda kimya ndiye anayekula nyama...wahenga hawakuwa wajinga..!!!
asante mkuu
 
Pia usisahau kupinga matumizi mabaya ya pesa za umma yanayofanywa na Bashite na wenzake.

Uko sahihi kiongozi.
Wewe subiri report ya CAG 2019/20 mwaka kesho itakavyoibua madudu ya utafunaji wa Fedha za Walipa Kodi halafu usikie majibu ya kina Supukali Ayubu na Mapoyoyo wa CCM watakavyo mkomalia CAG kuwa anali dhalilisha Bunge......Poor Tanzanians...nani aliyewaroga?
 
Nikiwa kama Mtanzania sijaridhika kabisa na kejeli ambazo wakenya wanatufanyia mitandaoni , Uungwana ni vitendo , hata kama wametufunga lakini hali hii haikubaliki.

View attachment 1141068
mkuu ilikuwa ni Kenya vs Bashite.

tena hilo dude kubwa kwenye katuni yafaa lingemgeuzia Bashite kabisa azamishe kichwa "suez canal" huko.

tushajichokea na kiki za wakolomije siye!
 
Ohooo!!!
 
Waambie wapunguze kejeli
Wasipunguze acha watambe ndio wakati wao huu.

Kama inatuuma na sie tujikaze tuwe na timu nzuri ya kushindana, next time tuwafunge.

Kejeli hizo haziishi kwa malalamiko, kejeli zao zinaisha kwa kufungwa.
Acha watambe
 
Back
Top Bottom